Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu...
Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
Yakukumbukwa MZ.
Adhabu za mwalimu mwarabu, anarusha jiwe kwa manati litakapotua ndo saizi ya eneo lako la kufyeka.
Mkuu wa shule anakutoa nduki ukidoji paredi yoyote yeye hana special day...
Wadau nataka wikend ijayo nikacheze mechi kwenye uwanja mdogo wa kulipia (6 by 6),sasa sijui wapi kuna LODGE yenye gharama nafuu(kati ya 15000 hadi 20000)
kama unajua nielekeze tafadhali.reference...
Makonda amempa Said aliyetobolewa macho na Scorpion
Nyumba
Gari ya kutembelea
Bajaji mbili
Bodaboda 5
Kuna wazee wamenipigia simu wanaulizia ati ni wapi...
[emoji835]_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kule Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na...
MCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME
KWA KUMPA JIKO LA MKAA ULIOLOWANA, AWASHE
MOTO MPAKA MANAILONI YOTE YAISHE HUKU
AKICHAMBUA MAHARAGE MAGUMU, AYACHEMSHE
YAIVE APIKE UGALI, MLE MSHIBE...
Habari za mapunziko
Nilileta mada hapa ndani kuwa nahitaji mwanamke wakizungu ili nimpiku hamonizer pale kikijijini kwetu mahuta
Kweli nimefanikiwa kupa mke ingawa kuna changamo kidogo
1. Umri...
[emoji117]Ujinga wa ndoto ndiyo huu
••Utaota umeokota dolla ukiamka empty...
••Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu
Dadadeeki OTA Sasa UMEKOJOA..... Ukiamka imoooooo...
Leo wife kanikera mno.
Leo nimetoka zangu kwenye miangaiko nikasema ngoja ninunue kanusu kilo kakula na familia.
Mimi nikafika zangu nyumbani nikakabidhi mboga kwa wife nkamwambia andaa msiso...
Mimi huwa nakaa najiuliza sana iv kama baba muumba wetu wa mbinguni asingetuumba tungekuwa wapi saiv nq tungekua tunafanya nini je huko ambako tungekua tungemujua ngosha magufuli na mkwere jk huwa...
Mimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile...
*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.