JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*MAZINGAOMBWE* Man can do woman can do it beta hii jeuri sijui wanaitoa wapi wakati wakikojoa wanaweza kuandika hata jina lake chini si kila mwanamke anafa kuwa mkeo baada ya kutoka safarini kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
*Mwaka jana mwishoni nlimpa rafiki yangu namba ya mpenzi wangu amjaribishe kama atamkubalia maana mpenzi wangu alikuwa ananiambiaga hawezi nisaliti na hakuna kama mimi. SASA Jmoc NI HARUSI YAO*...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Utamsikia Demu>''Kwa hiyo we STUNTER Unanitaka Mimi' STUNTER>Ndio nakupenda kweli baby Demu>'Hivi uliniambia umeachana na mpenzi wako lini vile' STUNTER>Mwezi wa 2 katikati Demu>Itakuwa wewe...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
baada ya kukengeuka sana kama kijana...ni kitu gani mama yako alikisema ama alikifanya na kikakurudisha katika mstari mnyoofu??? Share na mimi mkuu kama itakupendeza. Dedication OCTOPIZZO mama...
1 Reactions
2 Replies
749 Views
.. nikiwa natoka uswazi naelekea kunako riziki nilikutwa na kasheshe si kitoto, nilikuwa ndani ya Daladala inayofanya safari zake Manzese/Kariakoo nilikuwa nimekaa na dada mmoja Mashallah M/mungu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
3K Views
.....Anakuumiza sana? Hajibu sms wala kupokea simu halafu Unampenda kishenzi...acha kujifanya unaumia sana. Kuna mtu uliwahi kumfanyia hivyo hivyo... maisha yanazunguka tu...life circle. Tafuta...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mungu Wasamehe Wanawake Wote Wanaoponda Wanaume Wafupi, Wanene, Wabaya Na Masikini Wape Maisha Marefu Waendelee Kuchezewa Na MahandSome Hadi Uzeeni Amen_
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu hope mko poa, Kuna watu humu JF huwa wanapatia sana wakileta nyuzi za aina flani namaanisha akileta nyuzi za namna hiyo uwa zinavutia sana kwa upande wangu ni hawa hapa; 1: Mshana Jr huyu...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
BREAKING|South Africa’s Ex-President Thabo Mbeki Dies After Short Illness
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Binti:Mambo Stunter STUNTER: poa Binti: Ah mpenzi ninashida na sh:50,000/= STUNTER: Usijali ntakupa tukutane KEMPISKI HOTEL tupate MSOSI uje kuchukua Mzigo wako Binti: mh mh mh wapi me siwezi...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Hivi ni nani aliyemtoa huyu binadamu porini akamvalisha suti na kumpeleka kwenye tuzo za MTV MAMA AWARDS ....kule kwa mzee madiba ...Mungu anamuona
4 Reactions
29 Replies
7K Views
:CHEMSHA BONGO: Nataka kujua kama ww ni mtoto wa TOWN, Sehemu gani hapa TANZANIA kuna majengo ya kifahari na hiyo hiyo sehemu jina lake ni chombo cha kupikia jikoni hilo hilo jina ni...
0 Reactions
17 Replies
21K Views
Nimetumiwa SMS na bobi ya mikopo kuwa nadaiwa. Na wamenipa siku 30 tuu nijisalimishe. Hashii!!!! Nikawambia mbona sijasoma chuo kikuu wala kuwakopa??? Wakanambia mbona kila siku najiunga...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No! Akaona hapa anasumbuliwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu[emoji51] Unaenda kuoga unakumbuka umesaau sabuni unaenda kuchukua unafika bafuni unakuta ng'ombe kanywa Maji yote[emoji1] Unaenda kuchukua mengine ile kurudi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila...
16 Reactions
44 Replies
9K Views
MAZINGAOMBWE Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... jua hauko peke yako. Chukua karatasi na kalamu anza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kumshukuru Mungu kwa ulinzi wa Usiku uliopita, na kumwomba akuongoze Leo, HEBU tutafakari pamoja neno hili fupi; Luka 16: 20-22 20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…