Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion30 utazilipa mpaka ukome.
Utaratibu mzuri nenda bodi ujilizishe anadaiwa ngapi shilling...
Chrismass ndio hiyooooo imefika. Ni KONA PUB pekee mahali ambapo ni TILIVU kwa Ndugu na Rafiki KUKUTANA na KUUNGANISHA Mawazo huru ya MAISHA.
Ipo pembeni ya barabara ya Morogoro jijini DSM...
X-mas hii nitakuwa mwenyewe natoa offer kwa binti mrembo ambae nae siku hii atakuwa mwenyewe na anahitaji company.
Offer hii ni kwa jumamosi,jumapili na itahusu chakula,vinywaji na malazi katika...
Duu hali mbaya sana mwaka mpya tunatokaje Mimi nimeona kwanza nipate mboga [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] uwezi jua 2017 itakwaje
[emoji116][emoji116][emoji116]
*UJUMBE MZITO WA PAPA FRANCIS*
*Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na...
Boy:- hello
Dem:- hello
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious
A. K. A dope girl
Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care
Dem:-no no baby usipige...
UONGO MWINGINNE HATA HUFAI!
jamaa:unasoma?
demu:sisomi,vipi wewe unasoma?
jamaa:ndio nipo kidato cha nne roleto.
demu:jamani hiyo si ni shule ya wasichana?
jamaa:aaah nimechanganya nipo...
Akinitumia short words text nami najibu kwa namna hiyo hiyo.
Akituma romantic text nami nitamtumia romantic...
Akinitumia emoji kwny whatsapp nami najibu kwa emoji.....
Mbwa kala mbwa....
Jamani...
Mganga kutoka Sumbawanga ana uwezo wa kubadilisha mwalimu aliye soma masomo ya art kuwa mwalimu wa masomo ya sayansi ila gharama ni kubwa kidogo[emoji86] [emoji86] [emoji86]
OFA! OFA! OFA!
Mlete mpenzi wako kwangu
msimu huu wa SIKUKUU na ujipatie mtoto wa BURE
kabisa.
Watu 10 wa kwanza watajipatia mapacha.
WAHI SASA mbegu ni chache!![emoji23]
*ZINGATIA*
_Kama wewe ni mwanaume na ulishawahi kuvaa joho [emoji310] wakati wa mahafali na bado upo nyumbani._
```Believe me my braza
lile ni dera.```...
Nimeona niandike uzi huu usiku huu,leo mchana kutwa Nilikuwa nikiwaza! Mara ya mwisho aliniuliza una mpango gani na mimi? Kumbe yupo humu anatafuta mchumba ,vigezo alivyotaja vyote ndio ninavyo...