JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii ndio DAR: Wizi STENDI Umbea MBAGALA Mapenzi BEACH Vibaka KARIAKOO Majivuno MASAKI Uchafu TANDALE Ushamba BOKO Ustaarabu KISUTU Ulevi MANZESE Chumaulete SOKONI Utajili IKULU Utapeli...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Watanzania tubadilike, Jana ktk pitapita zangu kitaa nikakutana na wana (washkaji) na kuanza piga stori za hapa na pale kumalizia weekend.Katikati ya maongezi mara gafla ikapita gari moja ndogo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipo hapa ununio nawacheki tu Nipo na Wana nawapigia story za jf Ila jf raha hamniambii kitu nye Wa kishua
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi Leo nisiku yakipekeee nimempiga mzungu milioni 11Nipo nakunywa bia hapa tabata bima forty forty. Naombeni mnijulishe kiwanja kingine chenye watoto wakali wakuuu. Nikatumie...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf? 1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf 2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya...
1 Reactions
91 Replies
5K Views
Nawasalim, Kuna imani mejengeka katika jamii hasa ya kitanzania pengine na nje ya Tanzania kuwa vitu vya zamani ni bora kuliko vya kisasa! Mara nyingi tunasikia 'mziki ulikuwa zamani' au Dar es...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ili kutunza kumbukumbu zetu vizuri kwa manufaa ya vizazi vijavyo nashauri tuwakusanye wahenga wetu wote hapa. mimi leo nimekutana na mhenga huyu maeneo ya kimboka buguruni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha) Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume: ****Wafupi ****Wenye...
7 Reactions
83 Replies
8K Views
Kwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri...
7 Reactions
57 Replies
6K Views
habar za siku ninadecoder ya azam niiwasha inaandika i smart card inserted incorrectly sasa nimejaribu kuchomoa na kuweka vizur inakuja meseji ileile naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari wanajukwaa Siku kama ya leo miaka kadhaa nyuma mwanaume nilizaliwa i cant think ni furaha kiasi gani walikuwa nayo wazazi wangu hii siku baada ya kumpokea kijana wa kiume kwa mwaka...
1 Reactions
9 Replies
960 Views
Wakuu Msalimie mdau wa hapa jf kwa kuanza na hayo maneno ili kuienzi heshima ya Le Mutuz kwa viongozi. Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama...
11 Reactions
464 Replies
19K Views
Tumezoea kuku kama kitoweo au chanzo cha mayai, na ni nadra kumkuta kuku mwenye kipaji labda mbwa au paka. Cha kushangaza kwenye mashindano ya got talent kuku mmoja ameletwa anapiga kinanda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii kwa kweli nimeona niiweke humu. Naona Rooney kaleta heka heka mitaani Nilikuwa naangalia TV nikaambiwa hiyo ni Rooney Nga Nikaenda kunyoa nikakuta wao wanasema Sir Rooney Kuna mtaa mmoja Dar...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jioni ya leo ningependa tukumbushane mambo mawili. Tujitahidi sana:- 1.Kula-chakula cha halali. 2.Kuvaa-mavazi ya halali. Ahsanteni.Jioni/Usiku mwema! Sent from my HUAWEI Y360-U82 using...
0 Reactions
7 Replies
941 Views
Baada ya jamii forum kuweka king'amuzi cha kusoma aina za simu humu ndani hebu tufanye sensa ya wale wote wa samsung , tecno , iphone na nokia lumia
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wengi huwa tunajua jinsi weekend inavokuaga na amsha amsha vijana wa mjini watanielewa zaidi ila hakuna kitu kinachotia stress kama ni weekend alafu huna hela, home kifurushi cha king'amuzi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?
1 Reactions
66 Replies
4K Views
Back
Top Bottom