JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Rais wa Tanzania ni mmoja tu. Hawa wengine Rais wa TLS Rumande Rais wa simba Rumande Rais wa TFF Rumande Mwingine akijiita Rais asubiri moto wake. Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
744 Views
*Je Wajua* wanawake ndio Watu pekee duniani ambao sio wanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha nikavute nyingine nakuja[emoji124][emoji124] [emoji57] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Binafsi nimekosa cha kuongea, Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD, Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki, Mkuu alisema...
19 Reactions
59 Replies
4K Views
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically. Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3] Ushauri kwa...
15 Reactions
520 Replies
28K Views
PIE
Kwa sisi tuliokua mafundi wa *hisabati* hatuwezi sahau heshima ya siku ya leo 22/7 or 3.14 _*leo ni siku ya PIE*_ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku hizi nguruwe anaitwa NOAH!jee wenye magari ya aina hiyo ya NOAH wanajisikiajee?haswa ndugu zangu waislam
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kujua sehemu ambayo naweza kupata kiti moto kizuri maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Asanteni sana.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekula huyu mdudu noah old model sehemu nyingi hapa tz ila leo nimetafuna huyu mdudu hapa ni mtamu balaa! Ndizi pembeni,novida na kachumbari. Ashukuriwe muumba kwa kutuletea huyu kiumbe. Na...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Hawa ni pamoja na rais wa Yanga ndugu Manji, rais wa Simba Aveva, rais wa TFF Malinzi na yule rais wa TLS aitwaye Lisu lakini huyu hausishwi na ufisadi bali uchunguzi ukikamilika tutajulishwa kosa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi kwenye maisha unawazaga nini mimi pesa na mapenz vingine hakunaga kbsssssss Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ipi tamu kuliko nyingine?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu viongozi, Kila kitu kina faida yake na hasara. Ni katika tukio lililotokea juzi, katika maeneo ya kipawa, majira ya saa nne asubuhi. Ni katika majukumu ya kila siku, ya kutafuta...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Utasikia sa ndo nini umenifanya nioge bila sababu Tunachekaga sana
2 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Nilipata ajira kupitia ulevi na mlevi mwenzangu 2. Nilifanya maamuzi ya kuoa nikiwa nimelewa, na sasa nina familia 3. Nilinunua viwanja viwili mjini Dsm na nikajenga kupitia mlevi mwenzangu...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi kwa nini ukila chips yai (zege) lazima unywe soda? tena mara nyingi utakuta pepsi,mirinda nyeusi au soda za rangi ya orange (fanta au mirinda) mara chache sana soda za kijani.
2 Reactions
44 Replies
3K Views
HATA USIPANIKI mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe.... Wewe wajali sana wale rafiki zake.... piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Aseeh, ukiishi mtaani kuna mambo mengi yanatokea saana kimtaa kimtaa maana utakutana na watu wanahasira, wanaokera na wanaoonea watu bila sababu. Mimi kupiga kupigwa yameshanitokea saana...
13 Reactions
202 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…