Msemo huu umeshika kasi sana miezi ya hivi karibuni
naombeni kujua ni nani alianzisha msemo huu,
mimi binafsi nimemsikia sana Dogo Msodoki YoungKiller akiutumia kwenye track zake
ika sijaua ni...
Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako serious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale.
Je nani ni mtu serious na mtu wa mizaha mingi...
*Jamaaa mmoja kakodi taxi akawa anatembea katika jiji mara kapita* *gest moja akamuona mkewe anaingia gest* ```jaamaa akamwambia dereva simama,...
akamuulizaje```?
*unataka laki tatu za chap chap...
Katika tembea tembea hukoo kuna kitu/vitu tunajifunza kuhusu mambo mbalimbali. Binafsi nimefahamu mengi pamoja na baadhi ya madawa ya kiasili ya ukanda huo. Madawa yatokanayo na majani au miti...
Jamani,
Hivi sikuhiz kuwa na simu kuubwa ndo fasheni? Make vijana ofisini kwetu naona kama hawana cha kufikiria zaidi ya kushindana kununua simu mpya kubwa kubwa mara kwa mara.
Mwingine...
Habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.
Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili...
Huwa nikiwa nje ya Dsm sio rahisi kusikia watu hasa wanaume wenzangu wakihadithiana habari ya series hasa za Kikorea
Sana sana ni Movies tena zile za kihenga za enzi za akina Dolph lundgreen...
Habari zenu wandugu?? Leo embu tukumbushane mambo ya zamani ambayo ulikua unatumia akili za kitoto ktk kufikiri. Basi bhana mimi zamani nilivyokua mjinga nlikua najua ukizima RADIO kama ilikua ni...
Dah Asalam,
Kwanza siku moja mimi nilianzisha ugomvi nikasahau kuwa asubuhi nilisaga pilipili nikawa nawapa kuku walikuwa na kideli
Sasa jamaa akanipiga ngumi ya jicho chozi likawa...
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa...
Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake
Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao...
Nampenda mpendaaa
Naanii
Kijana mmoja
Naani
Mzungu kidogo
Naani
Tajiri kidogoo
Bosi kidogo
Naani
Mweusi Kidogo
Naani
Mrefu kidogo
Naani
Mpole kidogo
Naani
Ana mwili mzuri
Naani
Magari mazuri
Naani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.