Mambo zenu wanajf.......leo ndo siku yangu ya mwisho jukwaani nawaomba mnisamehe kila niliyemkosea.....kila la kheri....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji[emoji57][emoji57] . kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe...
wazee wa kipande hii
hili jukwaa kwa ajil yetu wajanja wa chuga na moshi!
asikwambie mtu wajanja wote na machalarii wote wa kisela tunasomeka kipande hii!
wa da slam wanatuogopa sana machizi wa...
paukwa......pakawa na mdudu na watu wakauwawa.Ni ugonjwa uliotoka ulaya,ukaenea ulaya hadi sasa umefikia malaya.Nitawapa stori kwanzia mwanzo start hadi mwisho smart........niendelee?
Mwadilla wakuu
Kama ningekuwa mod wa humu mjengoni sijui kama pangekalika humu yaani vishoka vyote
ningevibanika kisawasawa mpaka vilambe kisogo na vile vitikisa goli navyo ningevipa beki no3...
CHAGGA WOMEN
First Date: You get to buy her Amarula (or Redds), mbuzi choma and dance the whole night. You have to buy her credit, to organize for the second date.
Second Date: You get to buy...
Habari za usiku wanajamvi
Ni ujumbe unaolengwa kuwafikia madada(wanawake) wote humu JF na nje yake kuwa:-
UKIPENDA CHIPSI USIOGOPE MIMBA!! [emoji57]
Tafakari.
Madada wote mkimaindi njooni Kibiti...
Wakati unatamani baba yako angekuwa #Dangote.
Wakati huo huo baba yako naye anatamani we ungekuwa MBWANA SAMATTA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbukeni Shetani Anacheza na Akili...
Habari wanaJamvi naomba nitandike mada hii kwa neno moja alafu nawe Kama ni muhenga au uliahasikiaga mambo mbali mbali ya Zama hizo utaruhusiwa kutupia neno . JE UNAKUMBUKA # URAFIKI WA KALAMU#...
kuna video moja nimeiona ikipitumwa ya comedy ambayo ningependa kisa chake nami nikigusie kidogo.
bwana mussa alikuwa akifanya kazi kampuni flan na wazungu kwa muda mrefu na kwa kuwa alikuwa ni...
HAKUNA watumishi wa umma wenye dharau kama baadhi ya manesi kwenye Dispensary ya mtaani kwetu............ Yaani kuna nesi nimevuwa suruali anidunge sindano THEN ananiuliza HAYA MATAKO ULIPAKA...
Habarini wadau wenzangu
kama uzi unavyojielezea naomba kila mtu ataje mambo matatu anayopenda besti (rafiki yake kipenzi amfanyie)
mimi ninayopenda anifanyie ni:-
1. asiwe muongo sana, kila kitu...
Haka ndio kamsemo kapya mjini, nakapenda sababu kanawaziba midomo wanafiki na wazandiki ambao kutwa kusemana na kusengenyana badala ya kupambana kujikwamua na hali zao duni.
PAMBANA NA HALI YAKO!
Wadada bhan..;Utasikia mwanamke anahitaji matunzo
mara utasikia mashine yako kasagie mahindi[emoji13] [emoji13]
Swali linakuja ikiwa Baba ako kashindwa kukutunza mpaka kaamua kukubadilisha na...
It's awful how some members of JF uploading their amazingly photo that seems to represent attendance of devil I'm always want to establish a thread of devilworshipers to educate a society how...
Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku"...
Baada ya kukaa na kumbuka maisha ya Shule na ugumu wake naomba kila mwana JF aje aseme njia alivyofukuzwa au alivyonusulika kufukuzwa Shule
Mimi binafsi nikikumbwa na msala kwa kusingiziwa...