JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi...
2 Reactions
27 Replies
770 Views
Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia. Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo? Watag members wenye...
21 Reactions
296 Replies
7K Views
Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla. Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800) Tuseme gharama za uzalishaji ni 300...
4 Reactions
8 Replies
522 Views
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
3 Reactions
92 Replies
3K Views
Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe. Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo...
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake. Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi...
19 Reactions
263 Replies
22K Views
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai" Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda...
27 Reactions
197 Replies
4K Views
Kwa upande wangu mpaka sasa nimeshawakula girls 12. Nategemea idadi hii kudumu kwa miaka miwili mbele kutokana na mapambano yangu dhidi ya hali mbovu ya kiuchumi.
12 Reactions
83 Replies
3K Views
Hellow Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na...
13 Reactions
110 Replies
3K Views
#RudiniMashambaniKuoa
8 Reactions
11 Replies
656 Views
Mwezi wa Pili unaisha leo, wale mliozaliwa tarehe 29-02 endeleeni kusuburi mpaka 2028! Wazee wa mwaka wa kuforce mipango ya kuitwa Boss imekaaje kwa mwezi wa 3? Wale ambao LBL imewasaula...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo...
40 Reactions
93 Replies
4K Views
Ilikuwa hivi. Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba. Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa...
5 Reactions
9 Replies
453 Views
Kinachonifurahisha ni kwamba leo waandishi wa habari karibu wote wamevaa kanzu na hijab😂
1 Reactions
21 Replies
840 Views
1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu...
24 Reactions
381 Replies
9K Views
Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa...
3 Reactions
8 Replies
386 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…