JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je...
2 Reactions
4 Replies
527 Views
Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani. Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana...
47 Reactions
527 Replies
13K Views
Mimi vita ya KUNYAMAZIANA Sijawahi lose kabisa ,, Ukijifanya bubu ,, Mimi najifanya marehemu kabisa 💯 #@mudytawaleni1802 ✍️
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Tufanye kazi kwa malengo na sio kwa matendo. Tufanye kazi kwa asilimia mia na sio kwa kukamia.
2 Reactions
3 Replies
158 Views
Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui...
3 Reactions
6 Replies
334 Views
Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani...
13 Reactions
20 Replies
1K Views
Yani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba. Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani. Mimi nina kero na TANESCO. TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei...
5 Reactions
3 Replies
481 Views
Hii hoja naomba isichanganywe na hoja ingine yoyote na wala haihitaji mjadala mreeeefu wakuu. Ima faima mkuu kisandu aka Don Nalimison aka ex wa Malia Obama huko aliko atambue anamisiwa huku jF...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala...
9 Reactions
79 Replies
3K Views
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion ) Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu...
1 Reactions
10 Replies
592 Views
Salaam! Tangu kuzaliwa kwangu nimeshapika vyakula vingi. Hata hivyo (nadhani kwa kutokana na kuzaliwa wa kiume) sikuwahi kupika chapati. Niliaminishwa mapishi ya chapati yana utaalamu ambao ni...
21 Reactions
223 Replies
26K Views
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee. Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu...
27 Reactions
2K Replies
95K Views
Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki... Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana... Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia; 1. Kizimkazi Festival, 2. Tulia Trust Festival, 3. Arusha Land rover Festival, 4. Majimaji Festival, 5. Wasafi Festival, 6...
2 Reactions
9 Replies
530 Views
Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…