Wakuu,
Mnapoenda kwenye 5 star hotels na mnakutana na mabomba ya aina hii huwa mnafanyaje wakuu
Binafsi huwa na-pause kwanza naangalia wengine wanafanyaje
Asee motivesheni sipika muache ujuaji. Michongo ya kukusanya watu na kuongea ushubwada! Miksa udadambu na uleta manyago kuna siku wananchi wemye hasira kali watawashangaza.
Mtu anakusanya watu...
Bwana Yesu asifiwe...…...
Asalam aleykum.......
Wakuu katika tafiti zangu nimegundua kuna uhaba mkubwa wa magroup ya wasap ya maafisa utamu/utelezi ukilinganisha na miaka ya nyuma
Hivi tatzo ni...
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya...
Na mende msafi
(mwandishi hana nia yoyote mbaya, lengo ni kufurahia maisha muda huu ambao vyuma vimekaza)
Tuanze……
Episode 01
mshana jr: (huku akinyoosha kidole upande wa mbele yao) mkuu...
Wakuu heri ya mwaka mpya 2026, muda huu nipo zangu kwenye basi natoka kwenye majukumu nawahi hom kula sikukuu na familia.
Jirani yangu nimekaa na pisi kali kinyama imenivalia kamini kafupi...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka...
Wakuu
Kila mwaka kuna rafiki yangu huahidi akivuka mwaka mpya ataacha pombe, lakini haifiki hata mwezi mmoja tayari anarudi tena. Yaani ameshindwa kabisa kuacha.
Familia, kwenu je—ni kitu gani...
Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba...