JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama. Natafuta namna ya...
10 Reactions
18 Replies
397 Views
Wakuu habari Naomba kufahamu kati ya unywaji wa pombe kali au bia, Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhisi vibe fulani, ndio vinawaletea munkali? Ladha gani mnayoipenda kwa bia na...
10 Reactions
149 Replies
4K Views
Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya...
9 Reactions
84 Replies
1K Views
Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?
6 Reactions
21 Replies
533 Views
Side mirrors are in high market
1 Reactions
0 Replies
124 Views
Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye...
3 Reactions
9 Replies
220 Views
Hongereni sana Comedians wa Nyumbani Tanzania hakika huwa nikiwatizama na Kucheka nasahau ghafla Changamoto nyingine za kawaida za Kibinadamu.
1 Reactions
1 Replies
104 Views
Sijawahi kumsikiliza huyu Imamu na Mbavu zangu siziteseke kwa Kucheka. Namkubali mno.
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui...
1 Reactions
6 Replies
417 Views
Asili ya fisi huyu kuitwa Musa ni kwa vile siku moja alipojaribu kumkamata mwanamke aliyekuwa amelewa; bibi huyo alimdhani fisi ni mumewe aitwaye Musa, hata akamwita kwa sauti kuu, “Musa Musa...
1 Reactions
2 Replies
156 Views
Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale...
9 Reactions
24 Replies
553 Views
Kwenye kila shule kuna yule mwalimu mnokoo, shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani!? Mtaje. Cc Zero IQ
3 Reactions
142 Replies
15K Views
Videos shows people digging because they stepped in that area by mistake so they have to serve a punishment by digging. 😂😂 Even if your in a suit, you can’t survive the hoe once you breach the rule
1 Reactions
0 Replies
123 Views
1. Mke wangu, huwa najiapiza siwezi kumuacha kiurahisi kabisa 2. Jamii forums nimekuwa ni zaidi ya mlevi. Kama bado sijaingia humu hapo bado nitakuwa sijafanya kitu Wewe je?
8 Reactions
12 Replies
332 Views
Wakuu! Umetulia zako huna hili wala lile halafu ghafla unaona mmoja wao, ni mdudu gani kati ya hawa unamuogopa zaidi? 😅 A. Kunguni B. Nairobi fly C. Tandu D. Nge E. Chawa F. Mende
7 Reactions
40 Replies
663 Views
Rejea title, rejelea jukwaa. Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli. Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri...
1 Reactions
14 Replies
214 Views
Back
Top Bottom