JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za kutwa wanajukwaa?, Kwenye maisha kila mtu ana malengo yake aliyojiwekea kutokana na kile ambacho anatamani kutimiza maishani lakini kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha...
0 Reactions
10 Replies
432 Views
Jamani tujiandae 😂😂😂😂😂 Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Ninawasilisha! Merry Xmas and Happy New Year 2025
8 Reactions
16 Replies
835 Views
A DRUNK Turkish man spent hours helping a search party look for a missing person before realizing he was the missing person. Beyhan Mutlu, 50 yrs, from the north-western province of Bursa, had...
11 Reactions
6 Replies
552 Views
Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo...
2 Reactions
11 Replies
537 Views
Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Guys, i hope mko poa sana, Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu, Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town...
28 Reactions
109 Replies
5K Views
Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
10 Reactions
70 Replies
2K Views
Dondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu. Naanza Gwakisa, endelea
6 Reactions
284 Replies
13K Views
🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho...
0 Reactions
8 Replies
945 Views
Ukiona 1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex. 2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga 3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora? 4.Mdada kavaaa nguo...
5 Reactions
8 Replies
671 Views
Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Wadau kama week mbili hivi nipo tu home.sijatoka hata nje tu ya nyumba ninayoishi.ambacho huwa nafanya ni kuziwasha tu gari after five days engine iungurume hata masaa matatu then nazima. Sitoki...
55 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari zenyu wapendwa, Nina kiushauri kidogo kwenu wanaume au wababa. Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia...
17 Reactions
88 Replies
6K Views
Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo...
22 Reactions
168 Replies
4K Views
Habari zenyu! Niende straight kwenye mada kuna baadhi ya watu sijui wana matatizo gani yaani unakuta watu wamepishana kidogo wanaanza kusemeana maneno machafu kuhusu wazazi smdh! Haijawahi...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari, natamani kupata marafiki wa kubadilishana nao mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya maisha . Umri wowote na jinsia yoyote Kama uko interested karibu.
7 Reactions
11 Replies
704 Views
Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa...
6 Reactions
16 Replies
782 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…