JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja alimwambia mkewe,leo tukumbushie enzi za uchumba wetu,wakakubaliana wakutane gesti saa 5asbh,jamaa akawa wa kwanza kufika alikaa mpaka saa12 jioni,dem hakutokea akarudi nyumbani kwa...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
*MWANASHERIA ANALALAMIKA* SICHUKUI TENA KESI YA NDOA Kuna mteja alikuja nikamuandalia documents tukaenda mahakamani, kila nikimpigia hapokei najikuta mwenyewe daily. Kumbe washarudiana na...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Mara dogo katimba ofisini kamkuta mwalimu wa darasa. Dogo: mwalimu mi nataka mnipandishe darasa hila la tatu halinifai. Ticha:basi ngoja niongee na mwalimu mkuu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
_*Mfanyakazi: ```Boss leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha!, maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.```*_ _*Boss: ```Kwenye maombi yako ya kazi uliandika Hobbi yako ni KUOGELEA...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50 *Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa? *Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka 5 walikuwa ndani ya taxi usiku wakapitishwa mitaa ambayo kuna wanawake wanajiuza:- MTOTO:"Mama hao watu waliosimama kando ya barabara wanafanya nini?"...
10 Reactions
23 Replies
8K Views
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka mitano walikuwa ndani ya taxi usiku. Wakapitishwa mitaa ambayo wanawake wanajiuza: mtoto: Mama, hao watu waliosimama kando kando ya barabara wanafanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaaah! Mungu ni mwema sana. Ni raha na burudani kuwa na rafiki mzuri kama wewe!! Hakika Mungu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alituletea duniani kitu kilichochema na kizuri mno. Honey...
4 Reactions
142 Replies
11K Views
Baba alimuuliza mwanae: Baba:hivi mwanangu nikikuchapaga hasira zako unazimaliziaga wapi? Dogo:nazimaliziaga chooni! Baba:kivipi unamaliziaga chooni? Dogo:naendaga kusugua tundu la choo kwa...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Mwana na ngaï soki lelo to lobi ngaï na we Liteya nini na koki kopesa yo Batela bomoyi na yo sala ngele Moto nionso na mokili akoluka akoma na bomengo Kasi bomengo ya solo mwana na ngaï...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii. Basi kuna muda aliingiza mkono mfukoni...
4 Reactions
1 Replies
869 Views
Teacher: Can anybody give an example of coincidence'? Little Johnny: Sir, it's a coincidence that my mother and father got married on the same day, same time.!
0 Reactions
0 Replies
754 Views
HARAGE HALIKOMOLEWI… Hapa juzi kati nilisafiri kwenda jiji la Mbeya. Kwa kawaida unaposafiri kwenda mkoa tofauti na unapoishi unatamani kula chakula cha watu wa maeneo yale. Mara nyingi huwa...
13 Reactions
61 Replies
7K Views
BAADA YA AMINA KUHISI TUMBO LINAMUUMA Amina:doctor tumbo linaniuma sana tangu jana Doctor:jana ulikula nini kabla ya tumbo kuanza kuuma? Amina:nilikula pizza,baga,chips kuku na soseji doctor...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
shhhh...usimwambie mtu? shilole anamwalimu wake kingereza ila mpaka leo hajajua kutofautisha kati his na her fiesta ya mwanza alisema anamuheshimu bill nass kwa kingereza akasema "i respect her"...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Demu wako anakutumia Meseji kwa upendo kabisa wala hutikisiki kumjibu, au umemjibu meseji mbili ili kumridhisha aache usumbufu ukamwambia uko Bize..anatamani aendelee kuchat na wewe mara kwa mara...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Nawajua Wasichana warembo ambao kwa zaidi ya Miaka 6 wanakwea daladala kwenda kazini Posta hadi viti vya daladala vimezoea harufu za nanihii zao...Phonebook zao zimejaa madereva wa bodaboda na...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Mume!!yaani mke wangu kila siku hua nakusikia unasema!!tv yangu!! Nyumba yangu!! Watoto wangu.. Gari langu!! Mke! Kimya!! Mume!!yaani hua nakushangaa sana unapowaambia watu hivyo kila kitu chako...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Panda nyuma usogee juu = panda juu usogee nyuma.(Konda) Mapigo ya mbio yanakwenda moyo = mapigo ya moyo yanakwenda mbio. Mbona unaumwa umekonda nini = mbona umekonda unaumwa nini? Nanyi pia...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
28th September 2012 ….Ijumaa Ni siku niliyokutana na mtu maarufu sana katika jukwaa hili pendwa la MMU – Jamiiforums. Sikufahamu umuhimu wa siku hiyo kwani nilienda pale kwa mualiko wa dada yangu...
18 Reactions
78 Replies
5K Views
Back
Top Bottom