Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022 Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Morrison aliposhinda kesi yake ya kimkataba dhidi ya Yanga, mzigo wa lawama uliwaangukia viongozi, hakuna rangi waliacha kuona, hata busara na maridhiano hamkutaka vifanyike. Binadamu hao hao leo...
3 Reactions
1 Replies
393 Views
ANAYEMTAKA AJE MEZANI🤣🤣. Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu. Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa...
26 Reactions
55 Replies
5K Views
Juzi kabla ya marejeo(Review) ya kesi ya Fei Toto dhidi ya Young Africans kuna baadhi ya wachambuzi nzala walimhoji kwa makusudi Mama yake Fei Toto ili kuishinikiza kamati ya TFF inayohusika na...
1 Reactions
2 Replies
602 Views
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha. Ninaamini baada ya uamuzi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande? Je...
4 Reactions
19 Replies
752 Views
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri...
17 Reactions
45 Replies
4K Views
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetumia muda wa saa mbili kumaliza kupitia upya shauri la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Klabu ya Yanga...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Anaandika @exaud_msaka_habari Moja ya watu ambao tunaweza kuwatumia kama Mfano katika mijadala inayoendelea ni Fundi Ramadhani Singano Moja ya Vijana wenye vipaji sana kuwahi kutokea Tanzania...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Leo Mo Dewji ametangaza kumteua Bw. Magori kuendelea kuwa mshauri wake kwenye masuala ya michezo, ni jambo jema sana kwa sababu Magori ni mmoja wa wana Simba wenye mchango mkubwa sana tangu akiwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo. Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na...
5 Reactions
7 Replies
980 Views
Timu inayopigwa 3-0 nyumbani kwake, timu ambayo haina uwezo wa kubeba kombe lolote nchini mwake, timu isiyo na mfumo wa uchezaji kiwanjani zaidi ya kucheza mpira wa butua butua leo hii ishiriki...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mechi inaanza muda mfupi ujao Mchezo umeanza 5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani 7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango 25' Mwenda anampiga kazu kipa...
4 Reactions
250 Replies
12K Views
Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana. Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana USSR
4 Reactions
23 Replies
1K Views
The butcher -pale Ajax amsterdam walikuwa wanapenda kumuita hivo ikiwa na maana CHINJA CHINJA -Inaweza kuwa mapema kusema hivi but .. believe me Lisandro martinez ni aina ya beki tuliyemkosa kwa...
20 Reactions
22 Replies
2K Views
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuuu habarii za asubuhiii Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa anacheza mpira lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Baada ya kukaa kimya muda mrefu bondia Hassan Mwakinyo sasa atapanda uliongoni Aprili 22 kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kupigana na bondia kutoka Afrika Kusini. Pambano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…