Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa. Ni ngumu...
0 Reactions
5 Replies
512 Views
Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet. Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa. Duru zinasema...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Huwa nawashangaa sana watani wa jadi Simba na Yanga, mara zote kabla ya mechi utashuhudia majigambo na mbwembwe nyingiii halafu tunafika uwanjani kwa wingi tunashuhidia mpira wa makaratasi! Huuu...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kufunga magoli matatu yaani Hat trick kwa mchezaji mmoja katika mechi ya watani wa jadi yaani Simba na Yanga ni jambo gumu sana na ni rekodi ya aina yake. Hata hivyo...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
5 Reactions
87 Replies
5K Views
Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu...
13 Reactions
43 Replies
5K Views
Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho...
18 Reactions
1K Replies
96K Views
Wakuu, Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo. 1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Habarini,naam nizame kwenye mada. Mchezo wa leo SSC Vs YAC mashabiki mbalimbali humu jf walitoa ahadi mpaka wakazidi mipaka, Half american umeahidi Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe...
0 Reactions
17 Replies
927 Views
Natoa tu angalizo kwa sababu hii nchi tunaendeshwa kwa matukio. Niliposoma Mabosi wa Simba na Yanga wamepiga picha ya pamoja futarini Ikulu nikajua tayari Wana jambo lao. Hongera sana Makolo FC.
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu. Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya mechi ya leo dhidi ya watani wa jadi Yanga, mechi kubwa na ngumu tunayoisubiri Ni dhidi ya mahasimu wetu kwenye bara la Africa Wydad Casablanca Baada ya draw ya caf kuchezeshwa nadhani...
1 Reactions
5 Replies
919 Views
Alionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago. Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive...
2 Reactions
2 Replies
404 Views
Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki :D :D :D :p :p
3 Reactions
3 Replies
768 Views
Kwa takribani misimu hii miwili na hasa huu unaoendelea kumeibuka wimbi la wajiitao wachambuzi ambao uchambuzi wao unasukumwa na mahaba ya timu zao ambao wamekuwa wakiiponda na kuibagaza simba...
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe...
1 Reactions
2 Replies
563 Views
Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku...
9 Reactions
300 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…