Wanasimbaaaaa!
Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi.
Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata...
Kwanza kabisa niwapongeze watani Kwa ushindi wa derby......nilikosa mechi kutokana na safari ya USA.....
.ALI KAMWE|+
[emoji860]"Ushindi wa Kolo naufananisha na ushindi wa mke wa Achraf Hakimi...
Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na...
Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga.
Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha )...
Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani
Geay alifanikiwa kumaliza...
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.
Taarifa...
Real Madrid Vs Chelsea
Inter Vs Benfica
Man City Vs Bayern Munich
Ac Milan Vs Napoli
Nusu Fainali
- Mshindi kati ya Ac Milan Vs Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Vs Benfica
- Mshindi...
Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana!
Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu!
Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima!
Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma
Manara, Wawa...
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga...
Kumekuwa na posts na nyuzi za kujifariji kuwa matokeo ya kwenye derby haihusiani na ubora wa timu kwamba hata timu bora huwa inafungwa. Lakini nawakumbusha tu kuwa kwenye hii derby underdog...
Hawa wote walikuwa ni mabeki wa kati. Pia wote walikuwa ni makepteni katika timu zao.
Wakati John Terry alikipiga Chelsea, Nemanja Vidic alikipiga Man United katika EPL.
Kwasasa wote...
Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga.
Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa...
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi.
Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji...
Hongera mtani! Hongera mtani kwa kutwaa/kutimiza ndoto yako uliyokuwa ukiiota kwa muda mrefu kwamba "Utamfunga mtani (Yanga), ingenishangaza endapo Simba ingedondosha point 3 mbele ya Yanga, sijui...
Wasalaam!!!
Inawezekaneje:
1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa???
2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba??
3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape...
Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli...
KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa.
Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho...