Ali kamwe:
" Kesho tuna mechi ngumu sana wala sio utani, Mimi ni Mtu wa kutamba sana lakini nimecheki kwenye darubini yangu kesho tuna mechi ngumu sana , kwanza tunacheza na timu yenye rekodi...
AMRI KIEMBA|+
🗣“Kwa mazingira na namna ambavyo hizi timu zilivyo [Simba na Wydad Casablanca] na kwa heshima ya mpira wa miguu Simba inaweza kushinda kwa Mkapa.”
🗣“Kwa takwimu sasa ndio unakuja...
Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!!
Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
Wakuu salaamu
Najua kuna watu wa karibu na kocha wa Simba sc, hivyo ujumbe huu utamfikia. Ni hivi Phiri ana kitu na ili afike mbali apewe mechi tatu mfululizo ili kumpa confidence.
Sisi...
Kwa ushindi kiduchu waliopata leo ni wazi simba wamejikatia tiketi ya kufurushwa kwenye mashindano ya Caf champions league wale wydad sio watu wazuri kule morocco wakikosea kabisa ni 3 bila au 3 kwa 1
Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco.
Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi...
Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa...
Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba...
Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023
Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema
"wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio...
Today marks TEN YEARS since Manchester United last won the Premier League [emoji15]
Leo imetimia miaka 10 tangu manchester united washinde kombe la ligi kuu uingereza.
Mashabiki wa man u wenye...
Tuliwaambia uto timu kubwa haijifichi, yaani timu kubwa inajulikana na kuogopeka si ndani ya nchi pekee, bali duniani kote.
Last week makampuni ya betting yalimpa mnyama SIMBA odds kiduchu sana...
Ameandika Yericko Nyerere [emoji3578]
"Hii haikubaliki kabisa, mgawanyo huu wa mapato ni wizi wa mchana kweupe. Klabu mwenyeji wa mchezo haiwezekani ipate karibu chini ya 30% ya mapato. Hebu...
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.
Umafia waliofanyiwa...
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika...
Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake.
Nyota huyo aliyedumu...