Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mechi mbovu kabisa kuwahi kuiona maishani mwangu.. Itoshe kusema Yanga ni kikundi cha vibaka na panya road Povu ruksaa
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Huyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba. Nimefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za Yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Kusema ukweli arsenal ni timu ya kawaida na ya wavulana na upepo umewaendea vizuri Pamoja na ubovu wake arsenal odds za kuchukua ubingwa zipo kwake zaidi kuliko manchester city Hizi ndio sababu...
1 Reactions
3 Replies
806 Views
Habari zenu.. Kwanza pongezi ziende kwako kocha wetu nabii,mechi ya kwanza uliwasoma wapinzani ukawatandika 2 wakiwa kwao,Leo hii umeona ulinde ulicho nacho.. Nakusifu kwa kuwa bingwa wa kusoma...
5 Reactions
3 Replies
827 Views
Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii nchi imelaniwa, hivi nchi hii yumefanikiwa kwenye nini sasa? Kila kitu hatuwezi mpaka taa tu jamani zinazima!! Hii ni aibu sana. Ni halali wazungu watutukane tu sisi ni wapumbavu, Kama vitu...
1 Reactions
6 Replies
537 Views
Kumbe nia yenu Kuu na Juhudi zote mlizofanya Wiki nzima kabla ya kukutana na Rivers United FC leo ni kutaka tu Mashabiki wenu AKILI HAMNAZO waujaze tu Uwanja wa Mkapa ili mpige Pesa lakini siyo...
0 Reactions
2 Replies
585 Views
Young Africa Again michuano ya klabu barani Afrika nae YANGA yumo, timu pekee kutoka Afrika Mashariki nayo ni YANGA, timu pekee kutoka Ukanda wa maziwa makuu nayo ni YANGA, timu tatu kutoka Kusini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni. Utabiri wangu ndio huo. Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa. Na Yanga nayo itatolewa na...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ushindi huu ukawe somo kwa mabingwa wapya wa robo fainali 2022/23 CAF "Makolo SC". Msimu uliopita walitumia hadi uchawi ili kufuzu nusu fainali ya kombe la shirikisho. Lakini waliishia pale...
1 Reactions
0 Replies
675 Views
Hakuna namna Rivers wanaweza kupata ushindi au sare. Hawaoneshi kuwa serious na kazi. Ngoja watimize wajib warudi kwao.
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Kuna ulazima gani kucheza mechi usiku wakat taa zinasumbua?? Kwa nn mechi zisichezwe jioni ili kuepuka usumbufu..?? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
9 Replies
505 Views
Wachambuzi feki wamebaki kuandika viroja na kutukana serikali tu kwa kutouangalia uwanja, tunataka mtuambie hii mechi ikivunjika kwa sababu ya taa CAF watachukua hatua gani? Utopolo wameshapoteza...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Wenzetu mwendo wameumaliza kimataifa Sasa Kuna uwezekano mkubwa uliojaa chuki (uzandiki) na wivu wa hali ya juu Kama uonavyo mama wa kambo anapoona mtoto wake anafeli halafu wa mwenzie anafaulu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja! Klabu...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni aibu ya mwaka hii kati ya Yanga na Rivers muda huu ni giza nene
1 Reactions
0 Replies
471 Views
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu. Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…