Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili. 1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa. 2...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga...
0 Reactions
5 Replies
737 Views
Aongea kwa uchungu sana kuhusu timu yake, amedhihirisha kuwa unaweza kuhama dini lakini sio timu unayoipenda. Msikilize
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo...
1 Reactions
6 Replies
772 Views
Aisee kwa hali ilivyo, hawa Yanga ni wazi watachukua Kombe la Shirikisho Africa mbele ya USM Alger Mwarabu mbovu kuliko hata wale Monastir. Kwa niliyoyaona kwenye Nusu Fainali wakipata ushindi wa...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Kabla ya Yanga kwenda South Africa, nilishauri Rais atoe ndege ipeleke washangiliaji badala ya tuzo ya 10 ml. Leo Rais ameridhia kutoa ndege kupeleka washabiki Algeria kwenye mchuano wa marudiano...
2 Reactions
6 Replies
491 Views
Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira...
1 Reactions
4 Replies
466 Views
Salaaam Wana JF Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu...
8 Reactions
108 Replies
7K Views
Nimekutana na video hizi kwenye mtandao wa Facebook, mmoja kati ya wachambunzi wa mpira huko Algeria alikuwa amepost kuongelea Yanga. Kuna habari zimenifurahisha na kunihuzunisha. Zilizo ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na usinchoshe,tusichoshane!. Maswali yanayohitaji majibu kutoka Kwenu Makolo a.k.a Madunduka. 1. Je, kwa Mkapa anatoka Mtu au hatoki mtu? 2. Je,Robetinho anafaa au hafai? 3. Je...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuhusu kuchukua vikombe n.k hayo ni ya kimpira zaidi ila Simba SC ilikua Bora mno, hili pia limethibitishwa na nominees za NBC premium league kama nilivyoziorodhesha hapo chini. Bodi ya ligi na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA. Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
AFCON BID 2027 (IPO NAMNA HII). Tanzania, Kenya na Uganda zimeungana kwa lengo la pamoja la kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika 2027. Afrika haijawai kuwa na maandalizi ya pamoja huko nyuma...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs...
10 Reactions
86 Replies
8K Views
Kwanza niwapongeze Yanga kwa kufika Fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake. Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? 😝😝😝
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
" Diarra ameleta mapinduzi makubwq sana nchini katika idara ya goalkeeping. Ana footwoork nzuri, anaweza akapiga pasi ndefu ya mita karibia 60 mpaka 70 na ikamfikia mlengwa pale alipo. Anaweza...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada, ni kama Yanga wana asilimia nyingi kuingia fainali CAF confederation cup nimejaribu kuangalia fixtures za CAF fainali inatakiwa kuchezwa 28 May first leg na June 3...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…