Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii michuano ilileta sana msisimko kipindi kile na kuibua vipaji. Je, imepotelea wapi? TFF inampango gani na kuirudisha michuano hii?
1 Reactions
9 Replies
482 Views
Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria...
20 Reactions
47 Replies
3K Views
Yaani kile kitoto naanza amini kweli siyo riziki. Mgunda ni moja ya makocha ambao wana busara sana hapa nchini. Toka namfahamu sijawahi msikia akiizungumzia Yanga vibaya Amekuwa na heshima kwa...
19 Reactions
41 Replies
3K Views
Leo natabiri hivi.. Dakika ya 7 kuna goli. Jezi namba 7 inafunga goli. Kuna goli 7. Nitakasea kidogo tu. Rangi ya bahati ni njano(saffron).. Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo
4 Reactions
8 Replies
751 Views
Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC. Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila...
37 Reactions
155 Replies
10K Views
Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya...
32 Reactions
270 Replies
12K Views
Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya. Imezoeleka wachezaji wengi...
1 Reactions
1 Replies
734 Views
Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Football Accumulator Tips for 29-11-2018 Here is the Free Football Acca Tips for today 29-11-2018 Easy football accumulator tips of the day – Fill your bet coupon with this football acca, we...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jambo Jambo? Nakumbuka kipindi kile kama sikosie kampuni ambayo ilikuwa miongoni mwa makampuni ya awali ya michezo ya kubahatisha “Kubeti” ilikuwa ni M-BET, MERIDIAN na kadhalika. Kama ilivyo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao. Pelly...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna shida hii klabu
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Picha: Abubakari Salumu (Sure boy) Naam, kiungo bamia kiungo lainishi fundi huyu kutokana na kupenda kula urojo kule zenji kwa mzee kaju, basi wachezaji wenzake wakambatiza jina la "babu kaju"...
5 Reactions
6 Replies
793 Views
Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Tetesi hizi zina ukweli wowote? Kuwa Sunderland the Only One kaweka bilioni 4 kuchukua tenda ya jezi za Simba?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia...
2 Reactions
7 Replies
792 Views
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC...
19 Reactions
120 Replies
15K Views
Kesho Jumapili tarehe 28 May kwenye dimba la Mkapa inachezwa fainali ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baina ya Young Africans hapa nyumbani dhidi ya USM Alger ya Algeria. Mm kama Mtanzania...
5 Reactions
3 Replies
735 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…