Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika...
Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji
Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani
Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi
Timu...
Mkurugenzi wa Kampuni ya JAYRUTTY akiwa amepiga picha na basi litakalotumiwa na kampuni hiyo katika uuzaji wa jezi za Simba pamoja na promosheni mbalimbali zinazohusiana na Klabu ya Simba. Tukio...
Tumeona maandalizi na utekelezaji wa mashindano makubwa ya AFCON kule Ivory Coast na ya Sasa Morocco yenye ufanisi mkubwa.
Sasa mwaka ufuatao nasi ni waandaaji pamoja na Kenya pia Uganda. Jee kwa...
Ikitokea mchezaji wakati wa mchezo kiatu kikamtoka mguuni then akafunga goli. Hilo goli litakubaliwa au litakataliwa?
Msinifokee jamani, kuna kitu najifunza
Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka...
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC...
HAYA SASA ACHA KULIA KUWA JANUARY NI NGUMU NJOO NA MTAJI WAKO NIUZIDISHE MARA TANO TUPATE FAIDA TUGAWANE NUSU KWA NUSU.
LETE 100,000
TUNAPATA 500,000
KILA MTU ANAPATA 250,000
SHOW LINA ANZA SAS...
Kwanza ni nani aliyewaambieni kuwa Simba SC kufungwa ni Kosa? Klabu yetu ya Simba ilianzishwa ili iwe inashinda tu na kamwe isifungwe na ikitokea tu imefungwa kila Influencer wa Simba SC anaenda...
Waafrika huwa tuna mikasa na matukio ya aina yake sana.
Leo, nimemkumbuka straika wa boli Daniel Amokachi wenyewe wanaigeria wakimuita “The Bull” straika wa zamani wa vilabu vya Club Brugge...
Uhasama mkubwa zaidi katika soka la dunia, El Clásico, unaendelea kushika kasi leo Januari 11, 2026, ambapo vigogo wa soka Hispania Real Madrid na FC Barcelona wanakutana katika fainali ya...
Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet...
DAH
POLEN SANA CAMEROON
POLEN TEAM CAMEROON
MBAYA ZAIDI MECHI KAMA YA LEO SIKUWA NA HAMU KUANGALIA BAADA YA UHUNI ULIOTOKEA MECHI VS MOROCO
LEO TUNGEKUWQ TUNAANGALIA
CAMEROON VS TANZANIA...
Ili kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia...
Akaminko, Paskal Msindo nawaonya kwa tabia yenu ovu ya kuwaumiza wachezaji wa Yanga kwa makusudi, mliwaumiza Yao, Pacome na Skudu.
Sasa kesho tunawaangalia kwa Skudu, sasa Kesho tunawaangalia...
Haki ndugu Zangun,
Najaribu kuangalia rafu ya huyu mchezaji wa Simba kwa Azam. Inaumiza sana.
Najaribu kuvuta dhamira yake, aliwaza nn kumuumiza mwenziye, kumtoa uzazi, ama kumvunjilia mbali...
Nilicho kuja kugundua imefikia hatua hata Wana Simba baadhi wameshindwa kujua tatizo la Simba lilipo.
Leo tumalize Utata, hivi tatizo la Simba kufanya vibaya ni nini hasa
Hypothesis.....
Tatizo...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya ghafla ya mwamuzi wa mchezo wa robo fainali ya AFCON kati ya Morocco na Cameroon kwa kumuondoa Amine Omar wa Misri—aliyewahi...
Kwa tunaomjua vyema Kocha Julio wala hapa hatutobishana nae sana sana itatubidi tujichange na tumpe Hela anunue anachokitaka baada kusema Ukweli ambao Wanafiki wengi ndani ya Simba SC wanauficha...
Unaongoza kipindi vibaya sana, unachefua kabisa, unatoa maelezo huku unajichanganya, yaani unadobanga vibaya sana, yaani imebidi nizime redio.
Yaani unajibu sms moja zaidi ya dakika 3.
Nyie...