Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rejea maelezo ya Manara juu ya uvaaji wa vazi maarufu kama msuli au kikoi. Kwa hiyo wananchi wanaovaa vikoi kwa sasa ndani wako utupu kama walivyozaliwa.Hii ni hatari mno kwa afya. Mtapigwa goli...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Eng Hersi ametoa tiketi kwa wanachama wa tawi la wasiyoona hapa kinondoni kushuhudia mchezo wa Al Ahly. Eng Hersi ameahidi haya kwenye uzinduzi wa tawi hilo jipya lenye wanachama 138 wasiyoona...
12 Reactions
110 Replies
7K Views
Leo club ya Young Africans imekabidhi ng'ombe kwa waandishi wa habari baada ya kureport vizuri na kuhabarisha uma tukio la kumkanda kolo goli tano Yanga imewashukuru waandishi wa habari kwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunataka muendelezo wa kupoteza uendelee Yanga wapigwe hakuna uzalendo wala maneno ya kupeana moyo, hiyo misuli bila chupi watatafuta pa kuiweka. Kwa sauti ya gwajima wapigweeeeeeeeeeeee Yanga...
4 Reactions
5 Replies
709 Views
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw lkn mtandaoni imekuwa ni kama...
10 Reactions
61 Replies
3K Views
Hizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu. Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo...
17 Reactions
275 Replies
14K Views
Hivi kwanini mashabiki zake wanamdomo sana na unafikiri watafika hatua gani kwenye ueropa?
3 Reactions
18 Replies
901 Views
Jamaa wameona kwa jinsi mchezo ulivyo mgumu basi njia pekee iliyobaki ni kwenda zanzibar ambako walitumia waganga wa pemba kuipiga 5 timu moja ambayo jana imekaa kikao na wachezaji kubaini tatzo...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Hivyo ndivyo ilivyo na mnapaswa kujiandaa kisaikolojia katika mchezo huo kwani mtapigwa goli za kutosha. Hiyo misuli inaweza anguka uwanjani na kupata aibu kubwa. Huyo kijana msemaji wenu...
2 Reactions
9 Replies
929 Views
Wakuu umofia kwenuu! Rais wa Yanga na Director wa Simba wameitwa CAF kuuhudhuria mkutano wa kuanzishwa chama cha vilabu Africa utakaofanyika Leo. My take: kwa nini asiende Mangungu ambaye ndie...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini? Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha. Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa? Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
44 Replies
4K Views
MADA MADA MADA MADA [emoji460] KUELEKEA MASHINDANO YA CLUB BINGWA , TIMU ZA TANZANIA ZINA NAFASI YA KUVUKA GROUP STAGES? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] NJOO NA MAONI YAKO , UBISHI NDIYO...
2 Reactions
7 Replies
519 Views
Cash back kwenye bet ni ofa inayotolewa na kampuni za kamari au makampuni ya michezo ya kubahatisha ambapo mchezaji anaweza kurudishiwa sehemu ya pesa aliyoweka kama dau, ikiwa bet yake itashindwa...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa. Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Zanzibar, Kwa mujibu wa msemaji wa Yanga ndugu Ally Kamwe mchezaji wao wa kati Ibrahim Bacca ni mwanajeshi wa KM Zanzibar hivyo ameomba mashabiki wa Yanga waliopo kwenye vyombo hivyo siku ya...
8 Reactions
41 Replies
8K Views
Sisi tuna uchungu sana wa kuonewa kufungwa mabao 5 na ndio maana tumechanganyikiwa kila mtu anasema lake, machawa wanatetea uongozi na sisi tunasema hapana, uongozi umetuangusha. Sasa hawa jamaa...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
6 Reactions
33 Replies
2K Views
"Niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao Ali Kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu (Al Ahly...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini. Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni...
15 Reactions
110 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…