Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Haya kwa wale wapenzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya leo kwa upekee kabisa tunawaletea kitakachojiri live wakati wa mchezo huo. Mchezo huu wa mwisho kabisa wa hatua ya Makundi unabeba hisia nyingi za...
0 Reactions
8 Replies
937 Views
1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023 Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
After a Turkish Süper Lig match between Ankaragücü-Rizespor, referee Halil Umut Meler was punched in the face after the game. He was also repeatedly kicked whilst on the floor and sustained heavy...
0 Reactions
3 Replies
687 Views
Moja ya jambo kubwa ambalo Benchikha anaweza kuisaidia Simba na hilo jambo likaisaidia kwa miaka mingi ni kuwapa wachezaji ujanja wa mbinu za kisaikolojia ya jinsi ya kucheza na waarabu wenzake...
1 Reactions
8 Replies
875 Views
Habari wadau wa Sports, Pamoja na kuwa mimi ni miongoni mwa watu ambao ninamuona Bocco amezeeka na anawafanyia wenzake mabaya wasipangwe. Nashauri yafuatayo; 1. Bocco, Chama na Phiri waanze...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Juzi tu hapa Nkane , Mdathir , Sureboy , Farid Mussa , Moloko , Kibwana , Walikuwa ni wachezaji hatari sana hata kama walikuwa wanatokea Sub , ukianza kuhesabu magoal ya ushindi au perfomnce zao...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Huyu ni kocha wa ukweli, alikataa pongezi leo wakati anaulizwa swali na mwandishi wa habari, akamwambia no when you lose there is no congratulations, naamini angekuwa Gamondi angesema Thank you...
6 Reactions
5 Replies
719 Views
Ni kipa mzuri kwa sababu rekodi zake kule F A Rabat zinajulikana, naona amesifiwa sana tangu alipopangua penati vs Wydad, hata hivyo Ayoub licha ya uzuri wake golini lakini ana tatizo kubwa ambalo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt. Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda...
4 Reactions
263 Replies
12K Views
Wasalaam wakuu, hili suala nimeshaliona na kulifuatilia kwa muda mrefu sana. Nilichogundua ni kwamba hizi timu ndogo za ligi kuu bara huwa zinacheza kwa kutegeana ili zitoke droo na ikitokea timu...
1 Reactions
8 Replies
527 Views
𝐓𝐎𝐅𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐌𝐁𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐔 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎𝐙𝐈𝐎𝐍𝐀. [emoji2389]@yangasc ya NABI ilikuwa inachanganya zaidi kipindi cha Pili lakini Yanga ya GAMONDI ni Mwanzo mwisho. [emoji2390]Yanga ya NABI ilikuwa inawategemea...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Tunajua kuna wenye roho mbaya hawalali wakitutakia mabaya wana Simba tushindwe na hao waarabu. Enyi wenye roho mbaya nawaambieni wazi kwamba tumekuja kuchukua point zetu 3 kwa mwarabu, Simba sio...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii...
1 Reactions
6 Replies
761 Views
Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani. Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.
1 Reactions
7 Replies
778 Views
Kinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka Yanga wakati kwetu hali si hali.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wanajukwaa. Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande...
3 Reactions
9 Replies
791 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…