Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Makolo wameinvest mpira wa mdomoni ( wakizamani) huku wakimtegemea Ahmed ally Kwa propaganda ili kushinda.... mfano...kawajaza mashabiki kuwa waanze kuhesabu magoli ....Baada ya kufika 3...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso! Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Niliona jamaa alilambishwa chenga ya kufa mtu akateguka sijui.rusha picha tu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi wakati watu tukiendelea kutafuta ela watu wanadhurumiwa haki zao Jamàa alibeti timu 13 kampuni ya 1xbet na kuweka dau la $350, na ikaleta kiasi cha $22m Sawa na bilioni 50TSH...
10 Reactions
43 Replies
7K Views
Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo...
1 Reactions
5 Replies
624 Views
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema...
2 Reactions
4 Replies
878 Views
Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
560 Views
Salaam team. Maswali wanayouliza waandishi wa habari baada ya mechi kwa makocha wa kigeni hiyo ndiyo taswira halisi ya Elimu yetu hapa Tanzania. Kwanza utakuta mwandishi wa habari anauliza swali...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
"Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena. Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana...
3 Reactions
13 Replies
742 Views
Mashabiki wa yanga pigeni kelele na vigeregere Kombe la msimu huu ni lenu Msimu huu kuna maajabu ambayo Mashabiki wa mpira barani africa watashangaa Kifupi tu timu ambazo wengi walizoea kuona...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Mamelod 69% YANGA 31%..... Je umewahi kujiuliza hizi possesion hupatikanaje? Ipo hivi kinacho angaliwa ni muda wa kumiliki mpira kwa timu husika ndani ya dakika flani mfano dakika 30, 45 au 90...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Miezi miwili iliyopita zilisikika sauti za kusema "hatumtaki Chama na Bora aende maana yeye siyo mkubwa kuliko timu". Baada ya game ya Simba sc na Jwaneng galaxy Fc Chama kuonesha kiwango chake...
24 Reactions
238 Replies
8K Views
Tuliambiwa kuna maboresho makubwa ya uwanja wa Benjamin William Mkapa (BWM) Stadium, lakini kiuhalisia sijaona jipya lolote mpaka jana nilipoenda kuangalia mechi ya wananchi (timu bora Afrika...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati wa uchambuzi wa mechi ya Yanga vs Mamelod, mchambuzi Ramadhani Mbwaduke wa Azam tv alitaja bei ya mchezaji Junior Mendieta kuwa ni $4M. Kwamba hiyo pesa ndiyo iliyotolewa na Mamelod...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu. Pacome Aucho Yao yap Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Haiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Wahenga wanasema "ukimuona Kobe juu ya mti kawekwa" na ukimuona ngedere posta/ kariakoo basi ujue anafugwa. Ipo hivi kutokana na kelele za upigaji pesa Kama Mo dewji alivyokuwa akiongea pale...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…