Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mashujaa Vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium | CRDB Confederation Cup | Aprili 9, 2024 KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA MASHUJAA
3 Reactions
601 Replies
35K Views
Maoni ya wadau Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki...
7 Reactions
92 Replies
3K Views
Pichani ni mchezaji wa Cape Town spurs akimchezea rafu mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Peter Shalulile nje ya box ambapo jambo lililostua wengi na kuzua taharuki ni kwamba mwamuzi wa mchezo huo...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi. Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu ! 1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #CRDBFederationCup ⚽️ Dodoma JijiπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 10.04.2024 🏟 Jamhuri, Dodoma πŸ•– 2:00 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC...
15 Reactions
213 Replies
15K Views
TFf ilichuku.ie hili Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa. Tunastahili kichezeshwa wengi...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu,kuna suala nimeliona kuanzia kwa mashabiki,wachambuzi na hata viongozi mbalimbali juu ya mechi ya Yanga vs Mamelods! Lawama nimeona zikienda kwa refa wa kati kwa kuacha kwenda kuangalia VAR...
1 Reactions
71 Replies
3K Views
Waliokuwa wanadharau kufika robo fainali wamefika robo fainali kwa bahati na wametolewa KIUTU UZIMA wanabaki kulalamika. Sasa ni wakati wa kulinganisha ni timu gani imefika mara nyingi robo...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini...
8 Reactions
89 Replies
5K Views
β€œKocha Rulani Mokwena alinifuata na kuniambia wewe ni mchezaji mkubwa sana na una kila sifa. Una nguvu na una umiliki mzuri wa mpira miguuni mwako,akanishauri niongeze uharaka eneo la ushambuliaji...
12 Reactions
34 Replies
2K Views
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan Leo baada wa...
17 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakati wowote Simba itaanza kujifua kwenye uwanja wake ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam baada ya kukamilika kwa uwanja wa nyasi asili Kwa sasa matengenezo ya vyumba vya...
10 Reactions
97 Replies
16K Views
Pia penati zinasaidia kupunguza mdomo. Mara oh, ni siyo goli, tena oh, barua iliyotumwa CAF ni ujinga ujinga. Kwa kweli Mashujaa asante sana. Mashujaa munajua kufunga watu MIDOMOO!!! Sent from my...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Maamuzi ya refa kukataa goli la Azizi ki yamezua gumzo sio Tanzania tu bali kwa mashabiki wote wa soka barani Afrika, yote kwa yote ili ni suala ambalo ubishi ulitakiwa kumalizwa na goal line...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Jul ndo ukweli kwani klabu ya Simba imeingia kwenye mgogoro na MWINA KADUGUDA aliyewahi kuwa katibu wa Simba kutkana na matamshi kwamba Simba inasajili wachezaji wa kiwango cha chini...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako. Timu ipo kiuswahili Swahili sana na...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
1. Kibu Denis 2.Saido Ntibazonkiza 3. Chemalone 4. Henock Inonga 5. Onana 6. Zimbwe 7.Mzamiru Chama naye anaelekea huko.
13 Reactions
63 Replies
6K Views
Kimataifa inafahamika kuwa Robo ndiyo mwisho wa Mo Dewji FC, hii haina tofauti na mtoto kushangilia na kufanya sherehe kwa kuwa ameshika nafasi ya nne darasani miaka nne mfululuzo mtoto afanye...
1 Reactions
14 Replies
800 Views
Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia...
0 Reactions
6 Replies
773 Views
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…