Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine. Ni ukweli usiopingika kwamba...
13 Reactions
94 Replies
4K Views
Tanzania ndio nchi pekee iliyoteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutoka ukanda wa CECAFA kuwa kituo cha mafunzo ya VAR. Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, vituo vingine ni Afrika...
1 Reactions
12 Replies
703 Views
Wakuu hasa mashabiki wa Yanga the Galactic of jangwani hali ndio kama mnavyoiona hapo Msimbazi ambapo mawazo ya team ni kama yamefika mwisho na rasmi mtani wetu wa mda mrefu sana anatumbukia...
2 Reactions
10 Replies
677 Views
Allah shida nn pesa zipo tuhangaike nazo Mwenzenu nasusbiria msg za muhamala namiee niungane kwenye kikombe cha xpesa Anaetaka ajipange kweli...
2 Reactions
6 Replies
591 Views
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania. Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi. Mmoja ni...
14 Reactions
28 Replies
1K Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
134 Replies
7K Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. ๐—ช๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‚๐˜‡๐˜‚๐—น๐˜‚ : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
14 Reactions
104 Replies
6K Views
Mjumbe wa Bodi ya Simba SC CPA ISSA MASOUD akiongea na Waandishi wa habari Jana, amekiri kwamba shilingi bil. 20 alizoahidi mwekezaji Mohamed Dewij "Mo" hazijawahi kuwekwa popote Bali aligeuza...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Msimu unapo malizika basi timu zote ujipa tathimini ya msimu mzima ulioisha na kutazama wafanye nini katika msimu mpya. Aidha katika eneno muhimu zaidi ni la usajili wa Wachezaji yupi asajiliwe...
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
906 Views
Well Gamondi and Yanga part away. it's over. Yanga will have a new manager next season as tonight: Gamondi refused a long term contract Gamondi is still in contact with other big teams...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri. Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu...
3 Reactions
12 Replies
975 Views
Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga. Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya...
2 Reactions
4 Replies
600 Views
Simba has offered Gamondi a contract to be their next manager after Young Africans season contract ended. Gamondi is yet to make decisions. ๐Ÿค” ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna mgogoro unaendelea kwenye klabu kongwe ya Simba, kama unafuatilia vyombo vya habari na ukiwa mdau wa michezo hutashangaa! Kwenye mgogoro huu kuna makundi makuu mawili ambayo ni; a)...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
14 Reactions
112 Replies
7K Views
Wakuu kwema? Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live? Game ni saa 4:00 Ahsanta
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu zetu wazenji bhana ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ