Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
11 Reactions
252 Replies
14K Views
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts. 1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja. 2.Utopolo wataishia hatua za awali...
9 Reactions
59 Replies
4K Views
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi? Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe? Itoshe kusema Yanga hamna timu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nami pia nimesikia video clips na maelezo kuwa MANARA anaachana na soka baada ya kudumu kwa muda mrefu. Ukiangalia interview za karibuni za Manara, tangu alipohama toka SIMBA,matusi mengi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka. Kwa mujibu wa Katabazi...
3 Reactions
5 Replies
801 Views
kama unajua kutabili matokeo ya yanga πŸ˜‚πŸ˜‚. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months . weka nyumba 1 upate nyumba 9. Acheni siasa za mpira, walk the talk.
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
10 Reactions
139 Replies
5K Views
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000. Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa...
3 Reactions
13 Replies
962 Views
Ndugu Wana Simba ....kama mtakubali kuwa goli la azizi ki dhidi ya mamelodi ni goli la halali .........basi tuta ahirisha kumsajili Chama coz bado kumtangaza tu. Otherwise...
2 Reactions
9 Replies
456 Views
Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki. Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
kazini kwa Mzamiru kuna kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simba wamejipata #chekakisport
1 Reactions
1 Replies
681 Views
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League...
2 Reactions
13 Replies
931 Views
Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama usajili wa Lameck Lawi ni kwenda kuziba nafasi ya Henock Inonga basi Simba wame-prove failure, otherwise Lawi ani-prove wrong. PIA SOMA - Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC - Hii Dunia...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa mashabiki, wanachama, na wadau wote wa michezo kwa ujumla! Habari ndiyo hiyo. TFF na FIFA kwa pamoja wameifuta ile marufuku yao ya kuizuia klabu ya Yanga kufanya usajili. Na hii ni baada ya...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe. Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la...
2 Reactions
10 Replies
813 Views
Siyo kila Mtu anapenda Kudanganyika na Kukopwa huku Mali Kauli zikiwa nyingi. Kawatoleeni Mbavuni Kudadadeki. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI...
0 Reactions
10 Replies
713 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…