Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kikosi cha Manchester United kimepata pigo baada ya beki mpya wa kati kwenye timu hiyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 59, Leny Yoro kupata majeraha yatakayomuweka nje kwa miezi mitatu, pia...
1 Reactions
0 Replies
728 Views
Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao...
17 Reactions
25 Replies
2K Views
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani wizara ya michezo naambiwa imepeleka wanamichezo 7 kwenye michezo ya Olympic ufaransa ambao nao hawana uhakika wa medali kutokana na mazingira duni ya namna...
12 Reactions
64 Replies
2K Views
Nawashauri viongozi wangu wa Simba, Yanga ni timu ya kawaida sana endapo ujanja wao wa nje ya uwanja mtaudhibiti, wao wanajifanya wamewekeza kwenye tarehe 4 lakini nataka niwaambie kuwa Utopolo...
0 Reactions
11 Replies
743 Views
🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Niwakumbushe wana-Simba, mwaka jana ktk tamasha la Simba day kulitangazwa Sold out lkn uwanja ukawa na mapengo mengi. Sijui nn kipo nyuma ya hizi soldouts. Nashauri Hamasa iendelee
3 Reactions
16 Replies
1K Views
... [emoji772] 𝗧𝗢𝗣 (3) 𝗬𝗔 𝗚𝗘𝗢𝗙 𝗟𝗘𝗔𝗛 "Mpinzani wa Yanga msimu huu 24|25 ni Azam FC sio Simba. Kuhusu Ubingwa nampa Yanga 50%, Azam 30% na Simba 20%" "Simba bado inajengwa hivyo hawawezi kubeba...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni game Kali Wote wanamiili mikubwa na warefu. Enjoy the game
1 Reactions
5 Replies
786 Views
LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1 Mpira Wa Miguu (Wanawake) Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1 Handball Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26 Mpira wa Mikono-Volley Ball...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Timu limefanya vizuri misimu yote mitatu mfululizo lakini wanasubiri tickets za bure. Haya ni mazoea mabaya,siku walipotangaza supu ya bure jangwani walijaa sana,nashauri Siku ya mwananchi...
5 Reactions
13 Replies
751 Views
Hii mechi ya tarehe 8 kama kungekuwa na uwezekano basi kanuni ingebadilishwa Simba wasicheze na Yanga kwa sababu naona kabisa hii mechi inaenda kuvuruga watu upya kabisa. Simba ndo kwanza...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
0 Reactions
5 Replies
656 Views
Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi? Asanteni.🙏
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kijana wa Eritrea kwa majina ya Biniam Girmay kujishindia dola $533,915x 2600= 1,387,149,400 Kiasi kinaweza kuongezeka kama kulingana na mabadiliko ya thaman ya pesa. Kweli nimeamini ukubwa wa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
“Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku...
5 Reactions
8 Replies
733 Views
Hatimaye kwa mara nyingine na kwa mara ya tatu mfululizo timu ya Mo Dewji imenyakua kombe la kujaza uwanja kama kawaida katika mwanzo wa msimu.Katika hali ya kustaajabisha na ya kusikitisha timu...
1 Reactions
7 Replies
746 Views
Habari watu wa Soka Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17. VIGEZO: 1. Ni...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC. Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa...
3 Reactions
63 Replies
4K Views
Uongozi utwambie
5 Reactions
8 Replies
809 Views
Back
Top Bottom