Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tumsikilize huyu Mwamba, Mwanaharakati wa michezo Tanzania hususani Riadha.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Simba SC vs Coastal Union: Predictive score: Simba SC 3 - 0 Coastal Union Simba SC is expected to win comfortably with a strong performance. 2. Yanga SC vs Azam FC: Predictive...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
My Take King Majuto, Katrina wa Dareda-Karatu na Joti kazeni buti,la sivyo mtapotezwa katika tasnia ya komed
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki. Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na Ngoma Tu, Halafu Kazi Imeisha Kama umeangalia mpira sina cha kuongeza, nawakilisha kama ilivyo hapo juu. Soma Pia: Usajili wa Freddy...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya...
1 Reactions
0 Replies
332 Views
Kwenye mbio za marathon kidunia huyu Eliud Kipchoge ndio GOAT anacho kila kitu anazo dhahabu,mshaba na fedha Sio Olympic, commonwealth na kadhalika kote amepita na umri umemtupa mkono , kitendo...
2 Reactions
7 Replies
904 Views
Wale wafuatiliaji wa Epl leo tar 10/8/2024 ndio ufunguzi wa ligi inayo anza tr 16/8/2024 . Uwanja: Wembley Mechi ishaanza HT :Man city 0-0 Man united 0-1 Garnacho dk 82 1-1 Bernado dk 89 FT...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
guest-1787677255
... 💰💸 Viingilio fainali ya Ngao ya jamii : ◉ 30,000 ›› VIP (A) ◉ 10,000 ›› VIP (B) ◉ 10,000 ›› VIP (C) ◉ Mzunguko ›› 5,000. ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la...
0 Reactions
4 Replies
636 Views
Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJamiiForum Nakusalimuni huko huko mlipo. Nijikite kwenye hoja Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania. Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna watu walikusanyika kweli kabisa kwa ajili ya hili tukio! Haipaswi kuwa hivi kabisa katika jamii ya watu waliostaarabika na wanaojielewa.
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi. Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi. Heri Sasii Mohamed Mkono Kassimu Mpanga Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nikiwa mdau mkubwa wa riadha nimeona niandike huu uzi kupinga comments za kisiasa zinazotolewa na watu mbalimbali kuhusu wanariadha wa Tanzania walioshiriki Olympic Marathon 2024 za Paris...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…