Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Uongozi wa simba SC umefikia makubaliano na Ayoub Lakred kuachana. Ayoub ameitumikia Simba kwa msimu mmoja na kuifanya timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye Ligi. Naelewa kuwa Simba SC...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
MZAMIRU YASINI NI ROHO KWENYE KIWILI WILI CHA SIMBA. Acha na zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC Tanzania...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga...
27 Reactions
999 Replies
46K Views
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Mfanyabiashara yuko kazini zaidiiiii Lazima turudishe hela zetuuu endeleen kushabikiaa tu wachezajii
4 Reactions
13 Replies
981 Views
Ndani ya Miezi miwili kwa Makusudi, kwa Jeuri na Dharau zake aliamua Kuwazimia Simu Viongozi wa Simba SC kila walipomtaka ili wazungumze Mkataba wake. Baada ya kuona Viongozi wa Simba SC nao...
1 Reactions
5 Replies
920 Views
Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Simba kabla ya kumsajili Leonel Ateba ilikuwa imepiga hodi kwa Al Ittihad ya Misri kuulizia uwezekano wa kumsajili straika tishio wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia 'Mabululu', lakini ghafla...
2 Reactions
2 Replies
790 Views
"Simba hawawezi kushindana na sisi, Yanga wanaweza na ndio washindani wetu wakubwa....kutufananisha sisi na Simba kwa sasa ni kifo na usingizi...hawana timu kwa sasa."- Hasheem Ibwe, Msemaji wa...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli. Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba. Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya...
3 Reactions
2 Replies
413 Views
Msemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo. Bucuti...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
[emoji2788] “Mashabiki wameona kazi yangu kuwa ni nzuri, ila mimi naujua ubora wangu hivyo nikipata mechi kama tano nitakuwa kwenye uwezo mkubwa zaidi ya huu wa sasa. Kitu kinachonifanya nijitume...
2 Reactions
2 Replies
415 Views
Tayari mapicha picha yameanza huko mitaa ya ubwelani. Muunganiko hauonekani huku baadhi ya mambwela wake waki a mini ubwela utachanganyia mwendo katikati ya mashindano ya ligi. Wakati wakiwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗 Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri. Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Mamlaka zimeondoa sanamu za wanariadha watatu wa Olimpiki kufuatia malalamiko ya wananchi kuwa ni dhihaka, 15 Agosti 2024. Sanamu hizo, ziliwakilisha wanariadha maarufu Faith Kipyegon na Eliud...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…