Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo. Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza...
3 Reactions
5 Replies
540 Views
1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue...
21 Reactions
64 Replies
4K Views
Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa? Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko...
17 Reactions
105 Replies
5K Views
Kama ulisikia mwingine huyo wa mchongo kwangu mie huyu mwamba ndio man of the match Ikowezekana apewe tktk na ukaribisho wa kupanda mlima kilimanjaro bure akimaliza apelekwe ngorongoro crater
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu yetu Ally Kamwe amealikwa kuendesha Semina ya siku 1 ya kuboresha na kuwajengea uwezo Maafisa habari wa vilabu vya Ligi Kuu Zanzibar (PBZ Premier League)...
3 Reactions
14 Replies
576 Views
Kama tunataka kufurahia soka Tanzania na Simba itishe, Simba wampe Kikeke Urais wa Simba.
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo...
3 Reactions
8 Replies
796 Views
Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
guest-1787677518
Tumeona jana, baada ya mechi kuisha wale waarabu wametufanyia vurugu sana hata kutuumizia kipa wetu Aishi Manura kwa kumpiga na chupa na kumpasua kichwani. Kuna video zipo kwenye page ya salehe...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Biashara united alimkanda muarabu goli 2 saaafi kabisa lakini kubwa jinga makolo wameshindwa kabisa kufua dafu Kwa muarabu Je Nini kifanyike ..... Muungwana huchutama ....makolo waweke pembeni...
2 Reactions
7 Replies
462 Views
Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila...
26 Reactions
823 Replies
31K Views
Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae. Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia Guys...
2 Reactions
2 Replies
375 Views
*Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo. Sarafu yenye sura ya...
18 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
4 Reactions
6 Replies
786 Views
Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
3 Reactions
12 Replies
860 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…