Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara ) Anajilipia/kugharamia kuanzia: a) Usafiri b) Makazi c) Malazi nk. Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS...
4 Reactions
5 Replies
881 Views
Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio 👇👇 https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag== My Take: Safari yenu imefika mwisho Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na...
0 Reactions
13 Replies
671 Views
Draw ya group stage CAF Champions league na Confederation cup ni tar 7 October. Kila la kheri Simba na Yanga...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Juzi Bw.Kaduguda umekaririwa katika vyombo vya habari na nikakusikiliza vzr sana ukimshambulia vikali mshambuliaji Leonel Ateba eti sio striker kwa sababu za kitoto kabisa kuwa ana assist nyingi...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created. Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana. huyu...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hapa majuzi kati Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane Tusisubiri ngao ya jamiiii
1 Reactions
2 Replies
387 Views
1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez 2. Che Malone ameanza...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim, Baada ya...
0 Reactions
4 Replies
601 Views
Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika Kombe la...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Hongera sana Simba,timu ya mfano Tanzania na Africa mashariki. Timu wa kipimo Cha timu nyingine, Timu waanzilishi wengine wanafuata,Timu bunifu,wengine wanafuata, Timu yenye hadhi inayolipatiaga...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu! Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
4 Reactions
23 Replies
1K Views
N mda tu ukifika mtasema Hayo ndio matokeo ya leo All dbest mnyqma
1 Reactions
5 Replies
383 Views
Siku ya Jana ilikua kombe la mbumbumbu linaendelea na klabu ya mbumbumbu simba ilifanikiwa kuwafunga waarabu Koko vibonde wa biashara unitea ikumbukwe Hawa waarabu Koko walifungwa Gori 3 bila...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Young Africans- goals 17- million 85Tsh Azam fc- goals 1- million 5Tsh Coastal Union- goals 0- 0Tsh Simba -goals 0 - 0Tsh Pesa ya mama haijaenda kwenye kombe la akina mama Simba atatolewa Leo...
4 Reactions
6 Replies
749 Views
ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF. Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno...
0 Reactions
8 Replies
636 Views
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4 Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli.Hakuna timu inayoweza kupata umaarufu Tanzania bila kwanza kujilinganisha na mnyama. Mnyama anashindana na takwimu zake mwenyewe,wengine kila wakisema lazima wajilinganishe na...
3 Reactions
10 Replies
651 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…