Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam...
15 Reactions
636 Replies
26K Views
Soma Pia: FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki. Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Nukuu ya mwanautopolo lialia Labani og "Kama utakuwa professional kwenye soka la nchi hii jaribu kuweka vikosi vya Azam na Simba kwenye mzani .... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo...
2 Reactions
2 Replies
576 Views
1. Hivi kocha wetu kweli haoni tofauti kati ya Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu? Hata asiyejua mpira anaweza kuwatofautisha wachezaji hao 2. Hivi kocha unawezaje kumtoa Kibbu ambaye ametolewa...
11 Reactions
30 Replies
4K Views
Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo. Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1. Bora...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Amefanya kazi miezi miwili tu, Kweli mpira kazi ya ajabu sana. --- Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hongereni sana kwa ushindi wanamsimbazi..!! Kuleni shushu wanamsimbazi bila bugdha. Nimeshindwa kumuelewa kabisa mwalimu fadlu kwanini anaanza na ngoma ambaye umri umeenda(veterani),hana...
1 Reactions
7 Replies
664 Views
SIKU moja baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/22, Yusuf Bakhresa, mmoja wa wakurugenzi wa Azam FC alitangaza vita kwenye mbio za ubingwa katika msimu unaofuata, 2022/23. Majina ya wachezaji...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SCπŸ”°πŸ’ͺ🏽 Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max...
12 Reactions
306 Replies
17K Views
Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo. Chondechonde tunautaka...
5 Reactions
6 Replies
820 Views
Usajili wa Chama sikuufurahia. Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama. Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala...
16 Reactions
75 Replies
5K Views
Maneno ya Ken gold sports club Baada ya mechi . Waliofungwa 5 mikono juu Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Golikipa wa Man Utd, David De Gea anadai kuwa timu yao itakuwa imepewa laana na ndio maana haifanyi vizuri kwasasa! Sijui tunachokifanya kwasasa, matokeo yamekuwa mabaya siku mpaka siku, nafikiri...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk Lakini cha...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Enzo Zidane, mtoto wa Zinedine Zidane, ameamua kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 29. Enzo aliwahi kuchezea klabu ya Real Madrid na vilabu vingine, lakini sasa ameamua kustaafu soka. Enzo...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji...
2 Reactions
3 Replies
539 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…