Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tupo uwanjani leo shabiki kindakindaki wa Al hilal toka nizaliwe mm al hilal damu🔥🔥🔥 Forza Al HILAL Hat trick habib thalantha bin thiful نيتيوويوؤويتيتيتيتmwamnyeto🐸🐸🐸 Tanzania tunaiogopa SIMBA...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Acheni hayo maneno. Si sawa hawa wageni wapo wanaojua kiswahili. so wanaelewa haya maneno wanapoyasikia inakuwa inatupa nafasi ngumu sana kwetu kuwa bila 1. Kujidunga 2. Uchawi Haya si maneno...
0 Reactions
5 Replies
616 Views
Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa...
5 Reactions
14 Replies
791 Views
Wanasema huyo Andy Bikoko ndiyo sababu kuu ya kuwafukuzisha wazungu wawili yanga na singida black stars klabu mbili ndugu wa damu. Eti ni jamaa moja katili sana liliwatia mfukoni Pacome, Azizi...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Wachambuzi timu lenu limefungwa huko ila najua hamkosi cha kusema. Mmewadanganya sana wenzenu kwa tabiri na sifa nyingi za kijinga mkasahau kuwa hii ni soka. Mliipa nafasi kubwa ili kuzifanya...
5 Reactions
4 Replies
381 Views
Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi. Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Ulimi uliuponza mdogo. Ali Kamwe ulisema mechi ni leo, kesho ni siku ya kupiga kura. Sawa basi kesho tuwahi asubuhi. Ila usisahau kugeuka nyuma maana Ibenge hajawaacha yuko sako kwa bako. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Kwanza wanaongea Sana, midomo mingi, captain WA timu anasema tutapawapiga tano Yani anaongea kama anaharisha, Bora wamefungwa Kodi zetu watanganyika zimepona, maana wangeshinda wangemwagiwa hela...
3 Reactions
9 Replies
643 Views
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeibuka mshindi wa kwanza wa jumla katika mchezo wa riadha kwa wanaume kwenye mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi, na...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa...
1 Reactions
7 Replies
523 Views
Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema! "Hii ni mara...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu jamaa Salim Abdallah, (sipendi na sijawahi kumuita jina lake la utani) sijawahi kumuelewa toka nimeanza kufuatilia nyendo zake pale Simba. Juzi baada ya sakata la kule Mwanza, inasemekana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini. Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili...
15 Reactions
21 Replies
2K Views
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
12 Reactions
60 Replies
2K Views
Kama kuna wakati wa kuwaogopa hawa wachambuzi ni wakati kama huu. Kila mchambuzi ukimsikia anasema hii timu ndiyo kibonde na kwa hiyo Simba inatakiwa kujipigia goli nyingi. Kuna mashabiki...
3 Reactions
3 Replies
623 Views
NDOTO za Yanga kufanya vizuri kwenye Kombe la Shirikisho la CAF zinaelekea ukingoni baada ya jana Jumanne, Julai 26 kupokea kipigo cha mabao 3-1 ugenini kwa Medeama jijini Accra, Ghana. Hakuna...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana michezo wenzangu, kuna kivumbi cha kukata na shoka kuwania nafasi ya pili nbc premier league, baina ya vilabu vitatu vidogo nchini. Embu cheki msimamo hapo chini kisha tupia comment...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kijana kazi imemshinda, nimeona mashabiki wa Yanga wanalaumiana kwenye mitandao kuwa hawaendi uwanjani, wanashindwa na ma Shabiki wa Simba, mmoja wa mashabiki hao anaitwa God Yanga, amelalamika...
2 Reactions
4 Replies
726 Views
Back
Top Bottom