Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC πŸ“† 03.10.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal...
16 Reactions
319 Replies
17K Views
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šVital’O FC πŸ“† 24.08.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 19:00 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL #GoliLaMama...
24 Reactions
477 Replies
20K Views
Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Eeee bwana leo 01 - 03 ni BD yangu na nimefikisha zaidi ya miongo kadhaa sasa naona ni vyema nijipongeze kwa hilo. Happy Birth dei to me!
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla...
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Rais wa Yanga SC Hersi nimethibitishiwa kuwa si tu Unanisoma hapa JF, bali pia Unanifolo hivyo nakuomba unijibu upesi.
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Utopolo ni kawaida yao kuishia hatua ya makundi, hapo waliburuza mkia na wanadaiwa goli 9. Ule msimu wao wa ngekewa waliobahatisha kwa kukutana na wagonjwa akina Malumo na Rivers walijiona na wao...
0 Reactions
5 Replies
399 Views
Ushahidi huu hapa
4 Reactions
10 Replies
727 Views
Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Ndugu Wadau wa Soka Tanzania, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika mchakato muhimu kuhusu maendeleo ya mpira wa miguu nchini Tanzania kupitia mradi wa SAMTA (Sauti ya Mpira Tanzania)...
1 Reactions
5 Replies
720 Views
Nimekuwa nikifuatilia sana mahojiano ya huyu muha akizungumzia kufungwa kwa Simba na Yanga kila mara. Ninaanza kuwa na mtizamo tofauti juu ya azma yake kwa Simba. Huyu mtu anahitaji kuwa...
1 Reactions
7 Replies
715 Views
Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11. Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili. 85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC...
3 Reactions
9 Replies
854 Views
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na...
10 Reactions
128 Replies
4K Views
Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
I salute you kinsmen. Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye. Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali...
1 Reactions
21 Replies
983 Views
Mechi ambazo tunatoka sare unaona kabisa tumezidiwa mambo ya nje ya uwanja na nina wasiwasi sana kuelekea tarehe 8, tulikomaliwa na Fountain Gate kwa mambo ya nje ya uwanja, Azam naye akatuwekea...
1 Reactions
12 Replies
881 Views
Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Huu uzi nautoa kama tahadhari ili kama kuna sehemu ya kusafisha ifanyike haraka. Sitaenda kumnyooshea mtu kidole wala kumlaumu mtu bali ninachotegemea ni wahusika kuangalia mambo kwa jicho la...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…