Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Ikiwa TFF na Bodi ya Ligi wataamua Mechi ya Yanga ni Simba ichezwe tena, hilo litakuwa ni tukio kubwa la Match fixing kuwahi kutokea katika Soka la Afrika na duniani. Na kwa kuwa inaonekana ni...
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga. Timu ipi kusonga hatua...
7 Reactions
58 Replies
7K Views
Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo. Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya...
4 Reactions
11 Replies
861 Views
Rais wa Yanga amekaa na kamati yake ya utendaji wanadai hawatacheza mechi itakayopangwa.Yaani vichwa vyote vile vinatarajia kupewa point 3 za mezani!
8 Reactions
103 Replies
5K Views
Hili halina kipengele kabisa dogo kwa umri wake na mambo yake 🙌
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni dhahiri dalili ya mvua ni mawingu, kwa takwimu za Egyptian Talisman Mohamed salah namuona akienda kuibuka kidedea mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka huu 2025. Bila shaka, naamini Liverpool...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa...
2 Reactions
5 Replies
616 Views
Presidency ni kitu kibaya sana, inategemea namna utakavyoishughulikia la sivyo utaharibikiwa. Mabinti zako wanasubiri kuona namna utakavyolishughulikia swala la dada yao aliyepata mimba akiwa...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
1 Reactions
13 Replies
883 Views
Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia...
5 Reactions
12 Replies
871 Views
Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni...
4 Reactions
18 Replies
850 Views
Nilitegemea kwa yale mabilioni yaliyomwagwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa Mkapa pamoja na kuufungia usitumike mpaka sasa japo pamoja na marekebisho madogo kwenye vyumba vya kubadilishia...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya kutazama mchezo wa Azam hapo jana, Binafsi sijaona mabadiliko ya maana katika uwanja wa Mkapa licha ya mabilioni yaliyomwagwa, kufungiwa kutumika mara kwa mara na muda mrefu kupita tangu...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Vijana Kuweni kuna matapeli wamekuja na kampun Yao ya ku bet inaitwa FIC Vijana weng wametapeliwa Kwa Sasa tena kuna Mtu katapeliwa million 500 Toka jana hao Vijana wanalia
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…