Haikuwa rahisi. Hatimaye tumeingia Fainali Kombe la Muungano. Match ilikuwa ngumu na kuamuliwa kwa penalty. Tunaenda kuwekeza nguvu kwenye kulibeba kombe wallah...
Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer
Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi
wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe
Bosi wa...
Wahafidhina wa soka, tumeanza kupata wasiwasi wa kutokuja kumpata mbadala wa Sergio Busquets hasa wakati huu akimalizia soka lake kule Inter Miami.
Busquets ni moja ya viungo bora kabisa wa...
Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii...
Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo...
Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe yote ya ndani Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano.
Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress,
Simba tujikite na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko...
Habari za kwenu waungwana? In short niwe straight kwenye subject ni kwamba nina shida ya pesa ninayohitaji kwa haraka (kutokana na tatizo ambalo mm niko nalo kwa sasa) lakini pia hua naamini sana...
Ni ukweli usiopingika kwamba viwango vya timu nyingi zinazocheza shirikisho ni dhaifu ndio maana zinachukuliwa zilizoshika nafasi za 3 na 4 kwa maana ni zile zisizojiweza!
Lakini mashabiki Hawa...
Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba!
Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi...
Nimeona kuna watu wanachanganya mambo katika hili, CAF 5 year ranking inatumika tu kwaajili ya mashindano ya CAF na point hutolewa kwa kuzingatia mashindano yote mawili yaani klabu bingwa na...
Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao...
Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia...
Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama...
Simba atabaki kuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa na yanga wazee wa ndondo cup watabaki kuwa yanga.
Kosa kubwa hapa yanga wanataka kuifananisha timu yao na Simba kwenye mafanikio ya kimataifa...