Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

yeboyebo vs wana kuchele Historia ya Ugenini Inawabeba Ndanda FC Kama kawa naelekea uwanjani........... Bantu Lady, Masuke, Shark, Revocatus Kashaja, Grafani, Bello, Sembu, Mkolaj na Makoye...
1 Reactions
407 Replies
36K Views
Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa, amezitolea uvivu klabu za Simba na Yanga kusema hazina jipya. Slaa alitoa kauli hiyo juzi Jumapili kwenye mkutano wa...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Bandika Bandua, North London Derby, Merseyside Deby, Paris Derby, Madrid Derby.....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Azam Media LTD wameingia ubia na shirikisho la soka Uganda kuidhamini ligi kuu ya nchi hiyo ambayo itakuwa ikiitwa Azam Premier League kwa kitita cha USD 1.9 leo Na wamesema wapo katika mchakato...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Endapo watafanikiwa kucheza timu ya vijana ya klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania, basi itakuwa ni habari njema kwa soka la Tanzania, ambayo wachezaji wake kadhaa wamekuwa wakifeli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo hutokea kwa kasi sana na hivyo kusababisha stress. Wakati mwingine ni muhimu kupata kitu cha kukufariji na hivyo kumaliza kabisa stress hiyo. Kwa mwana spoti si mbaya kama utapitia mtandaoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeangalia review ya hili goli hata kama ngekewa hii imezidi<br>
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pre Match Meeting Ndio Imeisha sasa Hivi, mabadiliko kdg kikosi cha Simba leo
0 Reactions
226 Replies
26K Views
___________________________________ mwanzo nilopoona simba inacheza mechi 1 kila baada ya siku 2 na yanga ikikaa wiki nzima yani jumapili mpaka jumapili ndio icheze mechi nikaona ya kwamba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wale ambao mmefuatilia game za congo drc nadhani kuna vitu vya kujifunza kwa wachezaji wao. kwanza kabisa wanajiamini hawana mapepe pia control imelala karibia wote, mchezaji wa kongo akipata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Japo ni makala ndefu kidogo, wanamsimbazi wenzangu kipindi tunaendelea kutafakari matekeo ya jana.. nadhani ni vyema pia tukapata mawazo ya mwanachama mwenzetu AGNATIUS OBEL. Huko Ujerumani kuna...
4 Reactions
113 Replies
11K Views
Soka letu la Bongo liko katika msukosuko mkubwa wa imani za kishirikiana. Mara kwa mara Yanga imekuwa ikitajwa kujihusisha na vitendo vya ushirikina hasa baada ya Kavumbagu (akiwa Yanga)...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kweli africa bado mpira sana kwa mpira wa tunisia na guinea hana tofauti na marefa wa tanzania pernati waliopata guinea si halali kabisa nawauliza caf kama timu hamzitaki kucheza si mzijulishe tu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pana msemo usemao 'mkulima mvivu haishi kulilalamikia jembe kuwa halilimi vizuri'. Nimekuwa najifikiria sana hasa timu ya soka kama Yanga na Simba inaposhindwa katika mechi viongozi, makocha na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mwenye kujua anijulishe
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mashabiki wa mbeya city wamepitia nyumbani kwa mchezaji wa zamani Christopher Alex mjini dodoma wakati wakitoka mwanza na kumjulia hali pamoja na kumpatia kiasi cha shilingi 200,300
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakuu kama kawaida heshima kwa Tanzania, kijana wetu Thabeet Hashim, sasa hivi anaichezea UN-CONN(Universty Of Connecticut) inapambana na Memphis, angalia kwenye ESPN2 kwa wale wanaoweza,(Hashim...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…