YANGA imedai kwamba iligoma kuuza haki za matangazo ya Televisheni za mechi yao na BDF XI ya Botswana kwa vile Azam
TV haikufika dau.
Katibu wa Yanga, Jonas Tiboroha, ameweka wazi kwamba mechi...
Mechi za kombe la shirikisho barani Afrika kwa ngazi ya vilabu zinaanza mwishoni mwa wiki hii.
Wawakilishi wa Tanzania Bara Young Africans SC watakuwa nyumbani wakimenyana na BDF XI kutoka...
Sina mengi zaidi ya kuwapongeza. Nyinyi ni kioo cha mkoa wetu wa Ruvuma kimichezo hasa kandanda. Majimaji mmepambana vya kutosha hatimaye mmerejea Ligi Kuu. Tunatarajia ushindani katika mapambano...
Timu ya Toto African ya jijini Mwanza imerejea rasmi katika ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo wa mwisho wakundi B...
Tumekuwa tukiuziwa tkt za 5000. Kwa 8000-10'000. Naona hilitatizo limeisha!
Ila leo kidogo imekuwa kinyume, nimelipa 5000. Nilipokaribia getini nikasoma imeandikwa 6000!!dini yangu airuhusu...
The fastest man on the planet plans to hang up his spikes in 2017 to protect what he refers to as his ‘legacy'. And Usain Bolt is hoping to bow out in style like Sir Alex Ferguson. His last...
Tunaofurahishwa na matokeo mazuri ya Yanga kwa kupitia juhudi zako uwanjani tuko wengi sana, wewe endelea kutupa raha uwanjani wana Yanga na sisi nduguzo tutasaidia kukulipitia deni lako...
kwa kweli mpira wa tanzania umeingiliwa
kuna habari kuna timu ilitaka kumpa rushwa kocha wa polisi moro shs milioni kumi ili awachie ushindi uwanjani kocha alikataa katakata.
huyo mtoa hongo...
Kesho Wasiojua kucheza Mpira Dunia Nzima Timu Ya Yanga Inacheza Na Wanaojua BDF Ya Botswana Uwanja Wa Taifa Jijini Dar es Salaam Wakati Kesho Hiyo Hiyo Ni Siku Ya Wapendanao Hivyo Sipati Picha...
Nyota wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Mario Gotze amesema kuwa ni vigumu kwa mchezaji mwingine yeyote kufikia hatua ambayo Lionel Messi yupo kwa sasa.Katika kumsifia nyota huyo wa...
Dar es Salaam.
Klabu ya Simba imewapa masharti mahasimu wao wa jadi, Yanga kama inahitaji mashabiki wao waishangilie kwenye mchezo wa keshokutwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...
YANGA SC VS MTIBWA NI MECHI YA KISASI AMBAYO TUSITEGEMEE UFUNDI MWINGI ZAIDI KUKAMIANA
Mzunguko wa kwanza Yanga SC ikiwa chini ya Mbrazil Maximo ilikubali kichapo cha magoli 2-0 , ilikuwa ni...
- The deal is worth a huge £57million over the course of five and a half years
Eden Hazard has signed a new £200,000-per-week contract at Chelsea to keep him at Stamford Bridge until 2020.
The...
Leo tarehe 11/02/2015 majira ya saa 10 jioni kutakuwa na kipute cha aina yake pale Azam FC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara watakapowaalika wakata miwa wa Mtibwa kutoka Manungu, Turiani...