Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama njia ya kuondoa malalamiko ya chama cha soka Zanzibar [ZFA] kua soka la Zenji linahujumiwa na TFF.. Aden Rage amependekeza leo Bungeni kuundwa kwa chombo kimoja kitakachosimamia kabumbu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Karibuni katika uzi huu tujumuike kwa ajili ya matukio na matokeo yatakayojiri katika pambano la soka baina ya Taifa Stars waliopo ugenini kupambana na Mafarao wa Misri. Huu ni mchezo wa pili wa...
3 Reactions
243 Replies
37K Views
Kocha alieifundisha timu ya Tanzania Prisons kwa mechi 7 tu kwa msimu wa ligi wa 2014-2015 Mbwana Makata amechaguliwa kama kocha bora, akiwabwaga makocha wa yanga na simba Hans van Pluijm na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nahiso kina sehemu nyingi.pesa zinaitajika badalayakutiana aibu kwenye timu ya taifa..je kunaumuhimu wakuwa.na timuyataifa?? Kama ndio andika n kama siyo andika s hujui andika h
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kufuatia kuondoka kwa Xavi pale Barcelona ambapo anaelekea Uarabuni kuchuma hela ya mafuta, Dunia ya Soka imepoteza mmoja kati ya viungo bora zaidi kuwahi kutokea katika soka. Ifutayo ni list...
1 Reactions
94 Replies
16K Views
Wadau ninaomba kujua ni channel ya TV na mda gani itarusha mtananange wa TAIFA STARS na MISRI hapo tarehe 14/6/2015 ?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 2015 went down last evening, June 13, at Milimani City Hall in Dar es Salaam where singer Ali Kiba won big to become the most decorated artiste of the...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu Habari! Nimeamua kumuongelea Kado lakini najua suala hili linawahusu wanamichezo wengi. Jana nimeangalia tuzo za vodacom za wacheza soccer nikashangaa sana kumuona kado na wengine wamevaa...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
nipo hapa Marekani kwa takribani 5years.nafuatilia muziki wa bongo na nnauelewa.ninachoshangazwa watz hatupendi mtu kufanikiwa.kinachoendelea hapo bongo ni chuki za fulani anaendelea.nina rafiki...
1 Reactions
0 Replies
857 Views
Licha ya mbwembwe na umaarufu wa Lionel Messi na Christiano Ronaldo, lakini mkubwa Manny Pacquiao aliyezipiga juzi kati na Floyd Mayweather amewapoteza mbaya kwa kuwa na mkwanja mrefu . Hizo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MY LAND IS KENYA!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo hii ndio siku ambayo sakata la Ramadhan Singano a.k.a Messi lilikua linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pande mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa...
1 Reactions
119 Replies
14K Views
Love makes you do crazy "things." I bet we all can identify with this struggle.
2 Reactions
7 Replies
5K Views
unapozungumzia tms anayeingiza kwenye huo mtandao ni nyinyi viongozi na wala sio singano. unapozungumzia mkataba ambao upo kwenye tms haina tofauti na mkataba mliokuwa nao wa kudai miaka 3. sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa 'KUZIBIKIRI' kwa Waarabu. =================== =================== SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za...
1 Reactions
164 Replies
18K Views
Bondia Floyd Mayweather ni mwanamichezo anayeongoza kwa kulipwa fedha nyingi katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Hii ni kwa mujibu wa jarida la biashara la Forbes. Orodha ya kila mwaka ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kenyan Rapper Gloria Edna Mecheo commonly referred to as Xtatic is currently dominating the airwaves with her 9-track mixtape "Let Me Xplain" and is undoubtedly the country's best femcee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), tayari limemaliza mgogoro wa mkataba uliokuwa ukimhusisha winga, Ramadhan Singano ‘Messi’ na uongozi wa klabu yake ya Simba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
tabia ya tff ya kuibeba simba inapofanya makosa kama kutumia kanuni ya adhabu ya kadi tatu za njano kwa kuchagua mechi za kutumikia hiyo adhabu inaipa kibri ya kutotambua usuruhishi uliofanyika na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom