KOCHA mpya wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha timu hiyo pia akimteua gwiji Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden' kuwa Mshauri wake wa Ufundi.
Mkwasa ameteuliwa...
Mbali na kuwa sehemu ya kuleta umoja,Amani katika jamii, kwasasa tasinia ya mchezo wa mpira wa miguu umekuwa sehemu ya kitega uchumi kwa watu wengi, hata serikali nyingi zinapata baadhi ya pato...
Arsenal have agreed a £10.9m fee for Chelsea goalkeeper Petr Cech according to Sky sources.
The fee was one of the key elements outstanding as Arsenal edge closer to finalising the transfer of...
AfisaMtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Akimwelezea Jambo Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (Aliyekaa) Wakati wa Uzinduzi wa Tovuti ya Club Hiyo Anayeshuhudia ni Makamu wa Rais wa Club ya...
Tembelea ukurasa huu kujua kwa kina zaidi juu ya wagombea hawa wawili
https://www.facebook.com/pages/Chagua-Jamal-malinzi-Uraisi-TFF-Chagua-Wallace-Karia/537340943014812
kwa muono wangu mvurugaji timu ya taifa yupo na ndio aliokuwa anamuyumbisha kocha.kwa akili ya haraka naamini ndio aliokuwa anamshinikiza kuteuwa wachezaji na kwakweli mtu yeyote timu haifanyi...
-Ni mzaliwa wa uingereza,ana umri wa 48.
-Katika kipindi anasakata kabumbu amepitia timu kadhaa kama Leeds, Reading, Kilmanock, Hamilton.. alikuwa ni miongoni mwa beki "katili" wa kipindi hicho...
Sports Extra ya Clouds FM wachambuzi ni wababaishaji. Wakati timu ya taifa inafanya vibaya walisema kocha ni kimeo baada ya kocha kutimuliwa wanadai kufukuza kocha na benchi ni kufurahisha...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi, kesho siku ya Jumanne tarehe 23 Juni, 2015 ataongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Tansoma eneo la Gerezani -...
Timu zetu zote hazifanyi vizuri na hazijawahi kufanya vizuri miaka ya usoni. Kumtimua kocha huyu ni sawa na kuficha nyuso za watendaji wa mpira nchini ndani ya track-suit ya kocha. Kocha hachezi...
Habar! naandika hivi kwasababu zifatazo.
1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.
2. Julio ni kocha msomi, ana beji za...
Wasalaam wana jamvi!
Kocha mkuu waTaifa stars afungishwa virago baada ya kufungwa goli tatu na uganda!
Ni wazi Timu ya taifa nayo ni ya kuvunja kufukuza kocha haliwezi kuwa suluhu.
Pia kamati ya...
Nachukua nafasi hii kumpongeza Suleiman Nyambui kwa kuchaguliwa kuwa Kocha wa Team ya Riadha ya Taifa ya Brunei.
Nimefuatilia Maelezo yako AZAM Tv na nitafuatilia Jpili hii utapokuwa Live na...
Wapenda michezo JF naomba msome makala hii fupi niliyoinukuu toka kwenye tovuti ya gazeti la Mwananchi.
Kwa ufupi nimesikitishwa na ufafanuzi finyu wa Sappi ambaye anaangalia udhaifu wa kocha...
Katika michuano ya Kombe la Mataifa barani Afrika, kwa wachezaji wa vilabu vya ndani tu.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo itakuwa katika kibarua chake cha kwanza ikivaana na Uganda The...
Katika kikao cha kamati ya utendaji ya TFF kilichofanyika hii leo Zanzibar, pamoja na maamuzi mengine, kamati hiyo imeweka vigezo kwa wachezaji saba(7) wa kigeni wanaopaswa kusajiliwa na klabu za...
Hello wakuu,
Leo nimeona blogs kadhaa zimeripoti kwamba mheshimiwa Jamal Malinzi amempa kocha mkuu wa taifa stars kazi ya kuiondoa Uganda kwenye michuano ya CHAN ili kulinda kibarua chake...
YANGA 3 SIMBA 3
Daah hadi Half time nilijua zile 5 zinarudi,Kipindi cha pili walipoingia Vijana hao Walipoteza kabisa kiungo cha Yanga....Mara Mwombeki la kwanza dkka chache faulo akapiga Chollo...