Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nyoso kafungiwa kwa kosa la "kumtomasa" sehemu za siri Maguli katika mechi ya Simba na Mbeya City. Agrey kafungiwa kwa kosa la kumpiga "kiwiko" Okwi katika mechi kati ya Simba na Azam. Source...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Baada ya mechi ya kwanza kuchezwa Dar es Salaam Oktoba 7 uwanja Taifa na Taifa stars kuibuka kidedea kwa mabao mawili bila majibu, leo ni hitimisho kwa mechi ya marudiano kutoka Malawi ambayo...
7 Reactions
336 Replies
35K Views
MWADUI FC ya Shinyanga imetwaa Ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza baada ya kuifunga African Sport ya Tanga bao 1-0 Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Bao la...
0 Reactions
267 Replies
41K Views
Beki Emiry Nimubona atakuwa nje ya kikosi chake cha Simba kwa wiki nne. Nimubona amevunjika mmoja wa mfupa mdogo wa mkono wake na sasa amefungwa bandeji ngumu maarufu POP. Beki huyo raia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakenya Eliud Kipchoge na Gladys Cherono ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Berlin Marathon yaliyofanyika leo huko Ujerumani. Kipchoge ambaye pia ni bingwa wa mwaka huu wa mbio za london...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAGUFULI CUP 2015 TIMU SHIRIKI 1. ABAJALO FC 2. ZAKHIEM FC 3. TUAMOYO FC 4. BURUDANI FC 5. FC KAUZU 6. GOMS UNITED 7. FRIENDS RANGER 8. FARU JEURI FC RATIBA 9/10/2015 ABAJALO FC...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda. Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The leadership wrangles at Kenyan Premier League giants AFC Leopards are fast turning into a national shame. It is even worse and shameful that players are yet to be paid four days after a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limempatia mkataba wa miaka mitatu Kocha Mkwasa kuinoa Taifa Stars. Mkwasa atakuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya kuwa wa muda kwa miezi mitatu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
After both Sudan clubs managed to qualify for the CAF Champions League semi-finals, Sudanese football fans were dreaming of their country becoming the first-ever to provide both teams for a...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Kocha wa Simba Dylan Kerr Akimkabidhi Hamisi Kiiza Tunzo Zawadi ya Mchjezaji Bora wa Simba sport Club Mwezi September 2015 Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama mwanamichezo ningependa kutoa dukuduku langu ambalo linanikera hasa kwa club hii. Nimekuwepo hapa tanga kwa mwezi mzima sasa na hua natembelea mazoezi ya timu mbalimbali pindi wakiwa hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Another ‪#‎Kenyan‬ well on his way to take over Formula 1. ‪#‎JeremyWahome‬. Podium finish on the 2015 Asia Cup Series. Lewis Hamilton had better start...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka ya Afrika mashariki. Chanzo: BBC news.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jioni hii nikiwa naelekea nyumbani nikapita mitaa ya jangwani ili nitokee kigogo kukwepa foleni nilichokiona kimeniharibia siku yangu kabisa. Katika mlango mkuu wa kioo wa kuingilia jengo la...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Kama arsenal wangelikua makini leo hii wangeweza kurudisha zile goli nane walizofungwa kimazabe na manchester utd
4 Reactions
14 Replies
2K Views
TP Mazembe imetinga fainali ya ligi ya mabingwa africa baada ya kuifunga el merreikh goli 3 bila huku mtanzania mbwana samatta akifunga goli 2 na kung'aa vilivyo. mtazania mwingine tom ulimwengu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
​ Liverpool have sacked manager Brendan Rodgers with immediate effect. The decision to dismiss Rodgers was made before Sunday's draw at Everton, which left the Reds 10th in the Premier...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC, kampuni ya symbion ilinunua mitambo hii ya kampuni ya Richmond, hii sinema inanichanganya!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom