Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimechukulia Kgm kama mfano tu, hoja yangu ni kwamba kwa nini kila mtu TZ nzima ni mpenzi wa Yanga au Simba hata kama hawajazaliwa na wala hawakulia Dar, kwa nini wasiwe wapenzi wa timu zao huko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hapa tutapeana updates za mechi ya yanga Na Mo Bejaia. Updates: DK 1: Mo wanafanya shambulizi la kushtukiza ktk lango la yanga lakini halina madhara. DK. 3: Yanga 1 (Tambwe anawaandikia yanga...
2 Reactions
144 Replies
18K Views
Mchango wa kujenga club ya Sunderland Msimbazi Street katika miaka ya 1970 Majuzi hapa kulikuwa na Simba Day. Nimekaa leo asubuhi na kuwaza vipi Simba ilikotokea. Sijui kama Simba walifanya...
25 Reactions
122 Replies
17K Views
Mzee wa Mabifu Guardiola ameamua Joe Hart awe kipa wa chaguo la pili , baada ya leo tena kumchomesha mahindi kwenye benchi . Ikumbukwe kwamba hata ule mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal hali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo chura wa jangwani wameokota yai kwenye banda la ng'ombe mji mzima wanapiga kelele Hii nitabu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KITUO cha Televisheni cha TV1 Tanzania kinatarajia kuanza kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mpira wa miguu ya ligi kuu soka ya Uingereza EPL matangazo ambayo yanatarajia kurushwa kuanzia...
8 Reactions
147 Replies
35K Views
Raia wa Ethiopia Almaz Ayana ameishindia Afrika dhahabu ya kwanza Michezo ya Olimpiki mjini Rio na kuvunja rekodi ya dunia mbio za mita 10000 wanawake. Ayana aliwaacha nyuma wapinzani wake mbio...
1 Reactions
4 Replies
796 Views
mifumo ya kufikiri ya binadamu haifanani duniani kote. aghalabu kuna mambo ambayo hujitokeza katika jamii zote duniani. katika umri wangu bado sijawahi kusikia jamii isiyojihusisha na michezo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanachama Yanga wamkabidhi Yusuf Manji aiendeshe Yanga kama klabu binafsi, mikataba ya kumkabidhi nembo kusimamiwa na Baraza la Wadhamini. Katika mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond...
10 Reactions
250 Replies
30K Views
Kwa kifupi habari yenyewe imehaririwa na kuchapishwa kwenye Gazeti la Habarileo la tarehe 12 Agosti 2016’ likiwa linasomeka ( nanukuu.. ) ‘Klabu ya Yanga inakabiliwa na faini ya Sh milioni 128...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa midfielder mzuri kweli thamani ya Pogba inafikia € milioni mia? Sifa zipi zinapelekea Pogba kuwa na thamani hii ya kutisha?
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wapenzi na mashabiki njooni hapa mdeclare interest zenu ni team ipi unapenda England, coz mwaka huu mtoto hatumwi gulioni, Mi Asernal wazee wa mtutu........... Usnishangaee .......
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Yanga inakabiliwa na faini ya Sh milioni 128 kwa uzembe wa kuchelewa kufanya usajili wake kwenye mtandao wa kimataifa (TMS). Yanga ambayo tayari utetezi wake umetua Shirikisho la Soka la Kimataifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama mchezaji umebahatika kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Mcameroon, Joseph Omog ndani ya Simba basi unatakiwa kupambana kwani ukizingua tu, benchi litakuhusu. Hiyo ni kauli ya Kocha Msaidizi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Agosti, 11 limetoa orodha ya timu zinaoongoza kwa ubora duniani na nchi ya Argentina ikiendelea kusalia kileleni ikiwa na alama 1585. Nafasi ya pili inashikwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi, wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports wametoa utabiri wao timu itakayotwaa ubingwa na zile zitakazomaliza katika nafasi nne za juu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapenda soka wote tunailaumu TFF kupitia bodi ya ligi kwa kubadilisha ratiba ya baadhi za mechi za ligi kuu chini ya udhamini wa Vodacom. Ukweli ni kwamba, hili ni jambo ambalo halikwepeki kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuwa, Klabu ya Yanga inaweza kupata nafasi ya kusajili wachezaji wake katika mfumo wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA),endapo watalipa gharama ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kocha wa riadha wa Kenya wa mbio fupi za mita 800, John Anzrah amerudihwa nyumbani Kenya kutoka kwenye michezo ya Olimpiki nchini Brazil kwa makosa ya udanganyifu. Bwana Anzrah aligundulika...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom