Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kamati ya nidhamu TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha Habari Simba Manara sasa kuendelea na majukumu yake.
1 Reactions
32 Replies
7K Views
London, England. Shabiki mmoja nchini Uingereza ameamua kuchora tattoo ya mchezaji, Alexander Lacazette kwenye mwili wake ikiwa ni kuonyesha furaha yake baada ya raia huyo wa Ufaransa kusajili...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Manji arejea Mjengoni mamia ya wanachama wampokea kwa fifijo na nderemo. Je Ajib na Mkude watasajiliwa ?
5 Reactions
15 Replies
4K Views
ALEXIS Sanchez bwana. Eti anataka mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki ili aendelee kubaki Arsenal. Hivi anajua kuwa ligi nzima ya Ujerumani ‘Bundesliga’ hakuna mchezaji anayelipwa pauni 200,000...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Manchester Utd have Lukaku spearheading their attack. Enough said. Chelsea have the title winning team of last year plus one or two more. Tottenham are continuing with development and progress...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeshangawa tu na hii coincidence ya hawa vigogo wawili, lakini yasiyotuhusu naomba tuyaache tu kama yalivyo, only God knows it all. Asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Ni akina nani? 2. Walianzia wapi? 3. Malengo yao ni nini? Haya maswali yanatuvuruga wabara wengi. Tunashangaa tu matukio. Sasa hili la Everton limekua kubwa.
3 Reactions
51 Replies
14K Views
Hashtag ndo imenipa wasiwasi eti kama ipo ipo tu....kuna kitu hapa nadhani mmenielewa Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
TAIFA STARS VS RWANDA Leo nyasi za dimba la CCM Kirumba, Jijini Mwanza, zitawaka moto pale Timu ya Tanzania 'Taifa Stars' itakapowakaribisha Amavubi Timu ya Taifa ya Rwanda katika mechi ya...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Michael Martin asena utabiri wake kwa Arsenal haujahusisha usaili wa mtu yeyote. Mwingereza na mtu pekee aliyeitabiria ubingwa Leicister City msimu wa 2015/16 na Kuitabiria Chelsea 2016/17 na...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Klabu ya Simba SC imetoa taarifa kuwa imemteua Dr Arnold Kashembe kuwa Katibu Mkuu mpya wa klabu hiyo, isome taarifa ya Simba hapa chini. Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iiliyokutana jana...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
BRADLEY Lowery ni jina ambalo limemea kwenye fikra za wapenda soka kote duniani. Kijana huyu mdogo, umri wa miaka SITA (6) alifariki dunia juma lililopita tarehe 07/07/2017 kwa maradhi ya Saratani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tokea wenye dhamana ya kuendesha mpira wa miguu wa Tanzania walipomteua Salum Mayanga kuwa kocha wa team ya Taifa nilipoteza imani kabisa na team hii pendwa na Watanzania wote bila kujali mapenzi...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez . Ni mchezaji anayejiona ni bora...
6 Reactions
92 Replies
8K Views
Timu anayoichezea mchezaji wa timu ya Taifa Tanzania, Thomas ulimwengu inabuluza mkia ikiwa na point nane (7)tu katia 34 za timu inayoongoza ligi hiyo huku ikiwa imecheza michezo 15 na kubatika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
-Kijana anayejulikana kwa jina la Hassan maarufu kama Hans Jr kunako dakika ya ishirini kwenye mchezo wa everton vs gor mahia alivamia uwanja na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney mchezaji wa...
2 Reactions
187 Replies
28K Views
Hatimaye yule mchezaji mwenye mapafu ya Mbwa na mbwembwe nyingi amesaini katika timu bora kabisa ya Chelsea kwa Mkataba mnono wa Miaka Mitano.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Navutiwa na mtu humu uwanjani kiasi cha kutamani Wadosi wetu wamsajiri Please Bin Kleb Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila zama zina mwisho wake, na kila mbabe ana mbabe wake. Nani anafaa kuwa Rais mpya? nani msafi? tufanye makosa au turudie makosa? New Episodes to drop soon... The Returning of The Superman...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…