Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Namba hazidanganyi Leo ni tar 6/8 Ars 1+18+19=38+6= 44 Che 3+8+5=16+6=22 Hii mechi Arsenal ndio mwenye nafasi kubwa ya kushinda , namba zake ni kubwa zaid ya chelsea ,pia ni shufwa japo wote...
8 Reactions
60 Replies
9K Views
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam .. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Maoni yangu haya By Deadbody
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakika inashangaza sana kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kutaka kumfanyia vurugu mchezaji halali wa klabu ya simba Haruna Niyonzima jana uwanja wa ndege wakati akirejea jijini Dar es salama...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kiungo Haruna Niyonzima ametua Dar usiku na taarifa za ndani zinasema baadhi ya mashabiki wa Yanga walikuwa wanamsubiria kumfanyia vurugu. Jamaa unaambiwa aliwakwepa na kuwaacha kwenye mataa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hbr wadau,naomba kwa anaejua application anayoi2miaga kwny betting na inamsaidia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mchezaji machachari kichuia imethibitika kuwa mkataba wake umevunjika ijumaa baada ya team yake ya wekundu kushindwa kutimiza takwa muhimu kuwa mpaka ifikapo tarehe 3 wawe wamemkabidhi nyumba yake...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hatimaye Yanga wamekabishiwa jezi zao za msimu ujao na wadhamini wao SportPesa. Yanga ilicharuka baada ya jezi zao kukabidhiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi...
4 Reactions
12 Replies
7K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
586 Views
Kutokana na FIFA kuchelewesha majibu ya ponti 3 Simba inazodai,zikiwa hazija fika hadi siku hio hawato peleka timu uanjani.Kwani kwa kufanya hivyo ni kukubali moja kwa moja kama Yanga ndo mabingwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hans Van pluijm mwalimu wa kidachi na inafahamika wadachi wanafahamika kwa mpira wa kuvutia wa total football. Babu Hans kiukweli yupo vizuri na soka la bongo analijua na sio Bongo tu hata Africa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukifuatilia kipindi hiki cha usajili timu zilizoonekana kujiimarisha zaidi ni timu za EPL hasahasa timu mbili kutoka mji wa Manchester na timu moja kutoka Londoni. Nadhani unaweza kukubaliana na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Sasa ni kama 98% uncle Ngasa kutua Jangwani kwa mwaka1. Leo hii hii anamwaga wino muda wowote kuanzia sasa. Abdi Banda yupo Dar kwa kazi maalumu...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Leo Mwasa kaitisha press na kulizungumzia sakata la Mchezaji wa Azam Gadiel Michael na Yanga kuna kauli Mkwasa kasema ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda simba kuliko yanga. 1.Mkwasa naomba...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Klabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
kwa mahesabu ya kawaida kabisa Kijana wa kibrazil umri wa miaka 25 kwa sasa tangu asajiliwe na PSG anaingiza kiasi cha 1.6B Tsh kwa wiki kwa hiyo kwa siku anaingiza 220m Tsh (imekuwa rounded off)...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Arsenal 1-2 Chelsea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Yes leo tena bayern munich tumemaliza kazi na kuchukua ndoo again ,,,,, hatareee sana #muller, arturo vidal pado, lewaGOALSKI, frank ribbery, rafinha, kingsley coman, mats hummels, jossua kimmich...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika mashindano ya mita 10,000 yaliyofanyika juzi huko London nimefurahishwa na jambo moja katika top4 wote sana asili ya Afrika masharika. 1.Amezaliwa somalia/Asili yake ni Afrika Mashariki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa hatua aliofikia Professor AW pale Arsenal ni dhahiri kiburi chake sasa ni grade'A' au waweza sema ni kiwango cha lami... Kwanini nasema hivi... mzee ameamua kucheza na akili za mashabiki...Je...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…