Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tanzania tunasikitisha, hatuwezi kila kitu, hii ni pamoja na mpira. Pamoja na Tanzania kusifika kuwa kisiwa cha amani kwanini Makocha na wachezaji wetu makini mwenye timu zetu sio watanzania...
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa #Barcelona ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au #Laliga? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
. Miaka kadhaa ya nyuma ukiskia kuna game kama ya hivi leo AC Milan vs Inter Milan.. basi hizi game zetu uchwara za kina Man City vs Chelsea & Barca bs Atletico huwa hazina nafasi kwiki hiyo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa BBC sport news Man city ndiyo team ambayo kwa sasa inacheza soka bora zaidi katika ligi zote bora nne dunia, yaan spain,German,Italy na England yenyewe. wameangalia namna team...
3 Reactions
112 Replies
12K Views
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapo, mechi kati ya Tanzania Prisons na Mbao FC iliyoahirishwa jana na kupangwa kucheza leo saa 8:00 asubuhi imesongezwa mbele hadi saa 10:00 jioni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kawaida; kwenye mbio za kilimarathon; wakenya huwa wanazota tuzo zote katika kategories za mbio. Mwaka jana tu ndo mtanzania mmoja alitutoa kimasomaso kwa kushinda kategori ya Mita 21 kwa...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Wana jamvi naomba ushauri mtt wangu ana kipaji cha mpira anatumia mguu wa kushoto hata waalimu wa shule anayosoma amenieleza kuhusu kipaji hicho sasa naomba ushauri nikuzeje kipaji chake na diet...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Wapenzi wa soka, huyu Mousa Dembele wa Spurs kawakosea nini? Mbona hapewi sifa zake anazostahili, jamaa anajua sana mpira ila cha kushangaza wanaosifiwa ni akina Pogba kila siku. Dembele huwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa miaka 15 iliyopita katika ligi yetu ya VPL nadiriki kusema mpaka sasa sijaona beki wa kati wa kariba ya Victor Costa Nampoka "Nyumba". Victor Costa alibarikiwa kila kitu ambacho beki wa...
8 Reactions
52 Replies
11K Views
Wakuu wana JF.. Ni rahisi zaidi kwa mwanaharakati Mange Kimambi kuwa Mbunge wa viti maalumu pale Msoga kuliko Profesa Makoti mzee Hasanali Mawenge kuingia Top Four Msimu Huu! #wengerout
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAANDAAJI wa muda mrefu wa shindano la Miss Tanzania Kampuni ya Lino Agency chini ya Mkurugenzi wake Hashim Lundenga wametangaza kuachia ngazi kwa kutojihusisha tena na shughuli hizo za urembo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (VPL,) kuendelea leo katika uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam, ambapo vinara wa ligi hiyo Simba SC kuwakaribisha Chama la Wana, Stand United...
12 Reactions
394 Replies
37K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongezeni sana Uongozi mzima wa SIBUKA Media Company kuanzia kwa Mkurugenzi na Mmiliki wake Dr. George Nangale ( Mbunge Mstaafu wa Afrika ya Mashariki ) na Mkewe Madam...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu.. Hata kama mpira una Matokeo matatu yaani: Kushinda, kudroo na vilevile kufungwa; Lakin kwa walichokifanya Stand Taifa jana ni Hatari kwa Afya zetu WanaSimba katika Mbio za Ubingwa! Stand...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
NYOTA wa Paris Saint-Germain, Neymar amewasili mjini Belo Horizonte akiwa na mama yake, Nadine Goncalves Da Silva and na Daktari wa timu ya taifa ya Brazil, Rodrigo Lasmar jana tayari kwa upasuaji...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
“ MO amekuwa na tabia ya kutokuja mazoezini akiwa na sababu nyingi kila mara jambo ambalo linaathiri kiwango chake na hivyo sitaweza kumtumia. Simba sio timu ya sikukuu ambayo unaamua leo uje...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
THIS IS ONE OF THE BEST KISWAHILI MOVIES YOU WILL SEE IN A WHILE !!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mvivu mpaka kula
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Imegundulika kila mtu ameiga kipaji cha Pele katika soka
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…