Inakera sana kuona viongozi wa Yanga waliopo hata hawakerwi kufungwa na simba. Hata uchukue Klabu Bingwa Afrika kama hujamfunga simba ni mchuzi bila chumvi.
Kina Mkwasa mmechoka tokeni achieni...
Hivi majuzi shirikisho la riadha limebadilisha sheria zake zikiwalenga wanawake ambao wamekuwa na maumbule na nguvu kama za wanaume kutoshindanishwa na wanawake wengine kutokana na maumbile yao...
Kwenye app ya live goal,ratiba inaonesha mechi inachezwa saa tisa alasiri,ninawahi sehemu ya kuangalia mpira,nakuta uchambuzi wa mechi ndio unaendelea,kwa nini mnakuwa waswahili waongo waongo hadi...
club bingwa mtetezi yanga, imemnasa mganga wa kienyeji wa lipuli fc ambaye aliwasaidia kumbana mbavu mnyama katika mechi zote mbili.
Ikumbukwe kuwa mnyama hajamfunga lipuli katika mechi zote...
Mbeya city itabidi ijilaumu yenyewe kwa uzembe wa kumruhusu mchezaji wake kufanya ujanja na kuingia uwanjani bila ruhusa ya muamuzi na wakifahamu kua ni kosa kwa mujibu wa sheria za mpira wa miguu...
O.lyon v nantes 1
bayern m v frankfurt 1
roma v chievo 1
benefica v tondola 1
jonava v suduva 2
paide v flora 2
real madrd v leganes 1
marbor v triglav 1
emmen v utrecht 1
Good luck
habarini wanajamvi.........
Hivi ili mchezaji akose mechi inayofuata anatakiwa apate kadi za njano tatu mfululizo au hata kwa intervals.?
naombeni msaada kuna ubishi mkali hapa.....
Wengine...
Andrés Iniesta Luján hakuna shabiki wa soka asiyelijua hilo jina kiungo aliyekuwa muhimili wa klabu Barcelona pia na timi yake ya taifa ya Spain.
Barcelona wamepata pengo lengine baada Xavier...
Juzi ilikuwa siku ya vitabu duniani.Hivyo nafikiria mimi na wewe tutengeneze group letu la whatsapp la kusoma vitabu ambalo tutaliita "The Book Readers Forum[emoji432]."
Group letu litakuwa na...
Mimi nilikuwa na 21 wakati huo. Nilikuwa mshabiki wa New Castle United ya kina Ginola , Asprila na Kaka mkuu Allan sheareh.
Ila nilikuwa na mahaba na Arsenal baada ya le professor Wenger kumleta...
napenda kumpongeza sana mwalimu wangu ambaye pia ni mwamuzi Wa Mpira Wa miguu kwa kupata badge ya FIFA..
hongera sana...naamini juhudi na jitihada zako zimekufikisha hapo!
hongera sana...
TIMU YA WANANCHI NA MZIMU WA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.
Mwaka 1986, Tukuyu Stars kutoka Bagamoyo, Tukuyu, Rungwe, ilichukua ubingwa wa Tanzania Bara ikiwa ni mara ya kwanza timu kutoka wilayani...