Kuelekea mtanange wetu dhidi ya Ndada FC, huko Nangwanda Sijaona 15/09/2018 (Jumamosi ya wiki hii).. Hebu tuangalie mbili tatu za Simba SC katika kipindi hiki cha International Break.
Kipindi hiki...
Mchezaji wa Saint-Etienne auawa kwa risasi na watu wasiojulikana
Aliyekuwa beki wa klabu ya Saint-Etienne inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1, William Gomis amefariki dunia usiku wa...
Huyu jamaa nilikuwa simfahamu. Mara paap, namuona SkySports akimtwanga mzungu kwa dakika mbili.
Sam Eggington was on the end of a devastating defeat in Birmingham as he was stopped by Hassan...
Good morning ladies and gentlemen!
Welcome to a guide towards the UEFA Champions League Final to kick off on 6th June 2015 at Olympiastadion Berlin. In this thread we are going to discuss all the...
"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi"...
Adhabu aliyopewa Meneja wa Simba kuhusiana na wachezaji wa Simba kuchelewa kuripoti Taifa Stars ni uonevu na ni kubwa sana. Kufungiwa mwaka mwaka mmoja pamoja na kulipa faini ya sh milioni 4 ni...
Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Bao pekee la Yanga limewekwa kimiani na Yusuph Mhilu...
Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Simba.Kwa kuwa klabu yetu inaendeshwa kibiashara na kisasa naushauri uongozi wa klabu kurekebisha Nembo ya klabu iwe ya Kimataifa.Mapungufu ya nembo hiyo ni pamoja na...
Leo nilienda kuiangalia timu yetu ya Taifa ilipokuwa inamenyana na Uganda. Kuna baadhi ya kero nilizokutana nazo naomba niwashirikishe.
1. Watu wanapiga kelele hovyo hovyo kiasi kwamba kuna limtu...
Leo timu bora kabisa katika ukanda huu wa CECAFA, Rwanda ilikua dimbani dhidi ya timu bora Africa yenye ukuta wa Berlin Ivory Coast katika mechi za kuwania kucheza AFCON. Matokeo ni timu ya Rwanda...
Salamu wanamichezo.
Leo ndo ile siku tuliyokua tukiisubiri kwa hamu sana, pale Mnyama mkali kabisa mwituni, Simba SC atakapokua akipambana na timu bora kabisa toka nchini Kenya, AFC Leopards mida...
Mpaka sasa TPL imekosa ushindani kabisa.. Ligi imeanza Bingwa kashajulikana mapema naye si mwingine bali ni Simba SC. Njia pekee ya kuwapa changamoto hawa mabingwa watarajiwa, ni kuigawa hii timu...
Habari wadau naombeni mniambie kama Leo tulivyoangalia mechi ya timu yetu dhidi ya Uganda mapungufu yalikuwa wapo? na je kunapengo la mchezaji wa simba lilionekana miongoni mwq wale walioenguliwa...
Limezuka wimbi katika miaka ya karibuni vilabu vyetu vimekua na wasemaji yaan spokesperson/spokesman kawaida.
Swali la kujiuliza je, wanasaidia kukuza soka letu la bongo au wanadidimiza ?
Niweke...
#KIGEZO GANI KIMETUMIKA KUMCHAGUA MLEZI WA SERENGETI BOYS?
Kwa ninavyo jua Mimi kazi huwa rahisi na yenye matokeo chanya zaidi endapo kama
Anaeifanya ni mzoefu wa kazi hiyo au ni mwenye...
Kwa miaka kumi na tano iliyopita, Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England ambaye kwasasa anakipiga katika klabu ya Everton alikuwa katika fomu ya juu sana.
Ni...
Kwa wale wapenzi wa Soka la Tanzania watakumbuka jinsi Vilabu chini ya FAT vilivyokuwa vinacheza mechi za kujipima nguvu kwa timu au vilabu kutoka nje ya nchi kwa mialiko ya Chama cha Soka FAT...
Ndugu wanajf tujiulizeni maswali kuwa taasisi ya FIFA ni chombo huru? au inafanya mambo yake chini ya taasisi zingine maana sielewi kabisa juu ya ufanyaji kazi wao , haaa linapokuja swala la...