Baada ya mechi ya 30/09/2018 ambapo Simba SC alitawala kila kona, isipokua mambo ya ulozi, mapato yaliyopatikana yalikua zaidi ya milioni 400. Katika fungu hilo, Bingwa mtetezi wa TPL na FA, Simba...
Shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu, FIFA limetangaza marufuku kwa Sierra Leone kushiriki mashindano ya soka ya kimataifa kutokana na madai ya uingiliaji wa serikali ya taifa hilo katika...
Leo majira ya saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Man Utd itakuwa inaikaribisha Newcastle United katika dimba la Old Trafford.
Mimi siipendi Man Utd na kila inapofungwa huwa nafurahi...
Habari za weekend wadau wa JF.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu kama nilivyo wasilisha kwa mtindo wa swali hapo juu ktk kichwa cha habari.
Kwa jinsi sakata lilivyo zimwa kwa miaka 10 na...
Baada ya 'kuwakosa kosa' Yanga SC, Bingwa mtetezi wa TPL, Simba SC leo anarejea dimbani tena kupambana na African Lyon katika muendelezo wa TPL.
Mechi hii itachezwa katika dimba la Taifa, kuanzia...
Iliwahi kumtokea Adolf Hitler. mbabe asiyepigika.. lakini leo yuko wapi??. iliwahi kumtokea bondia mahiri kuwahi kutokea Muhammad allí.. Leo yuko wapi?.siku zote mwanadamu anazaliwa, na kuishi...
Mpira wa kawaida mnaonyesha m.magoli kutafuta kwa taabu.hata mpira kwa arsenal mwenyewe mkikutana naye atawapeleka mbio.ila duh hio rafu aliyofanyiwa Lucas sio POA.jamaa yule mshenzi na refa wa...
Mwanamke mmoja amejitokeza na kumtuhumu Mwanasoka raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo kuwa alimbaka mwaka 2009
Kathryn Mayorga amesema kuwa alifanyiwa ukatili huo katika Hoteli moja Jijini Las Vegas...
Siku ya trh 30 sept ilikuwa siku mechi ya watani wajadi, hii ilikuwa siku ambayo katika soka la hapa Tanzania historia mpya kabisa iliwekwa, ni siku ambayo Yanga hawata isahau kwa jinsi walivyo...
Coastal union ya tanga, jina la utani ni wagosi wa kaya mabingwa wa tanzania bara 1988 ni timu yenye historia ya kutoa wachezaji wenye vipaji na uwezo wa kucheza kandanda lenye kuvutia,ukiondoa...
Simba ndio timu bora hapa Tanzania kwa sasa na ndio timu ambao inamashabiki wengi hapa Tanzania na nje ya Tanzania na ndio timu ambao inawachezaji bora na wenye uwezo mkubwa.Hakuna mtanzania...
Wakati Serikali ikitangaza gharama za safari ya timu ya Taifa "Taifa stars" kwenda Cape Verde ni dola 1,500 na dola 2,000 wadau wameibuka na kudai fedha hizo ni nyingi kwa Mtanzania wa kawaida...
Wadau msichoke bado tunaendelea kuleta Flashback kuhusu tulikotoka na tulipo sasa.
Simba ndo Klabu ya kwanza na ya pekee Tanzania, kufika nusu fainali klabu bingwa Afrika mwaka 1974.
Simba ndo...
Ni kama zile hadithi tulizohadithiwa na mabibi zetu.. kwamba sungura Ana urafiki na fisi.. Kobe anamshinda mbio sungura,..na mingine kibao...
ni kama vile waingereza wanavyotuaminisha kuwa ligi...
Kwa wale walioifuatilia tamthilia hii kupitia Azam kwa muda mrefu sasa watakubaliana na hili
Huyo Sedaat ni Kama kawa chizi sasa tofauti na alivyokua mwaka jana sasa hivi amekuja huyu msichana...
Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye...