Hawa ni watangazaji mahiri waliowahi kutangaza mpira nchini na wengine bado wanaendelea kutangaza.
Yupi alikuwa anaugonga moyo wako kati ya hawa
1. Ezekiel Malongo(R.I.P)
2. Ahmed Jongo
3...
Kufuatia Dunia ya soka kukumbwa na uhaba wa Washambuliaji mahiri katika soka, Kuna mastraika wachache sana ambao wanaendelea na ubora wao wa kutupia nyavuni.
Je kwasasa unamkubali straika yupi?
Huyu kocha kabla ya kuwa Napoli aliwahi kufundisha timu moja ya serie B kama sikosei ambapo ilifanya vizuri na baadaye akaonekana na Napoli ambayo wote tunajua jinsi walivyokua washindani wakubwa...
Hatimaye 30/09/2018 imefika. Leo ni siku ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu sana ambapo, Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC atamkaribisha Yanga SC katika dimba la Taifa Stadium.
Mechi hii...
Uongozi wa Klabu Sumba umeuvunja rasmi mkataba na kocha wake msaidizi Irambona Masoud Djuma kuanzia leo Oktoba 8, 2018
Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya...
Wakuu kuna mjadala umeibuka duniani baada ya timu ya Man U kupoteza mwelekeo , bila shaka Morinho anatakiwa kutimuliwa haraka , lakini je huyu anayetajwa kumrithi anaweza kweli kuirudisha timu hii...
Miaka yote huwa naamini adui yako hatoki mbali... yaani yupo karibu yako..
ndo kinachomkuta masoud djuma.. kocha msaidizi wa simba sc.. ni kipenzi cha mashabiki. anapendwa na wengi ,lakini...
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea na ukiona namsema au namchukia Mtu basi jua 99.99% ana matatizo na hafai kabisa. Asante sana Uongozi wa Simba SC kwa kuachana na Kocha ' Mnafiki ' Masoud Djuma...
Miaka mitatu iliyopita ilikuwa mabingwa wa league 1..
Baada ya kuondokewa na wachezaji wake mahiri hali yao imekuwa mbaya sana. Wamiliki wa hii club walifanya makosa kuuza wachezaji was nyota...
Wakuu habari zenu,moja kwa moja niingie kwenye mada.
Hivi nini sifa za mchezaji kuchaguliwa kuwa mchezaji bora?
Maana kumekuwa na malalamiko kwa mashabiki wampira wa miguu kutokulidhizwa na...
Wakuu habari za weekend kiukweli hii timu ya AS MONACO matokeo yake hayaridhishi kwa sasa mimi kama mmoja wa watu waliokuwa wanaipenda hii timu nashindwa kuelewa sababu ni nini timu haiperform, Au...
Leo ndio ule mtanange pendwa wa watani wa Jadi SIMBA SC VS YANGA SC.
Fans wote wa hizo timu mje tubeti hapa iwe kwa pesa taslim au vocha .
Mi betting yangu.
Ajitokeze mshabiki yeyote wa Simba...
Katika mzunguko wa pili msimu uliopita wa ligi kuu Tanzania bara (ikiitwa VPL) mchezo dhidi ya watani wa jadi ulizikutanisha timu hizo na matukio yasiyo ya kiuungwana yalitokea kama yalivyokea...
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .
Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena...